Wasiostahili kurudi bungeni 2010

Wasiostahili kurudi bungeni 2010

Jamani someone said anaenda kupumzika amechoka kulumbana. Au maana ya kupumzika ni kutuma post zaidi sielewi? maana tulisha mruhusu na kumuaga aka pumzike salama ila tunaona post zake zina tiririka tu.

Mzee wewe kwani mgeni naye? Huwa anaaga kabisa JF na kutangaza atakuwa anaonekana kwenye TV, news bulletins na kwenye maradio baada ya siku mbili huyu anarudi, NO Tv and what not.....huyo ndiye mzee wa sauti....
 
JF kuna wakongwe kumbe, watu wanakumbuka mambo ya mwaka 1984 yaliosemwa na mzee Malecela.
 
Wazee kuna hawa hapa;
.Omar (Babati mjini)
.Damas Nakei(Babati vijijini)

Mazee hawa ni vilaza ajabu,wote ni wambulu,kabila la sumaye,wanadharau ile mbaya,isitoshe jimboni hakuna walichofanya,bungeni ni kulala tuu.
 

- Alibadili jina na kuitwa Jumanne ili apewe pesa si unajua kua anazo nyingi sana mpaka leo alizopewa na Iran kama ulivyosema mwenyewe, sasa wewe ndio umeleta hii hoja halafu unauliza maswali vipi tena mkuu, BWa! gha! ha!

Respect.

FMEs!

Verdict Saint Jumanne imefikia wapi Mkuu...?
 
Kwenye hiyo orodha sijui kigezo gani mmetumia, kwa sababu mtu kama Kapuya huwezi kumuondoa kalifanyia mengi jimbo lake, mtu ambaye wote mkoani Tabora wanajua anaondoka ni Msekela hilo halina swali. Ya Idodomya wao jamaa kaamua kuwa mbunge wa maisha ha ha ha ha
 
Mzee wewe kwani mgeni naye? Huwa anaaga kabisa JF na kutangaza atakuwa anaonekana kwenye TV, news bulletins na kwenye maradio baada ya siku mbili huyu anarudi, NO Tv and what not.....huyo ndiye mzee wa sauti....

Thanks for the info. Kumbe watu tuna bishana na mtu all talk no action. Hahahaha. Ila Watz wengi hivyo, maneno mengi hakuna wanacho fanya. Isn't that what got us in this mess in the first place?
 
Kwenye hiyo orodha sijui kigezo gani mmetumia, kwa sababu mtu kama Kapuya huwezi kumuondoa kalifanyia mengi jimbo lake, mtu ambaye wote mkoani Tabora wanajua anaondoka ni Msekela hilo halina swali. Ya Idodomya wao jamaa kaamua kuwa mbunge wa maisha ha ha ha ha

Ndiyo maana akaandika kuwa kama kuna mtu kwenye list umeona hastahili kuwepo watu waseme.
 
vile vile ingekuwa bora kuanzia mwakani mtu akiwa mbunge asipate uwaziri. Kama kuna mwanasiasa hapa JF afikishe afikishe huu mswada kwa washika nchi.
 
Thanks for the info. Kumbe watu tuna bishana na mtu all talk no action. Hahahaha. Ila Watz wengi hivyo, maneno mengi hakuna wanacho fanya. Isn't that what got us in this mess in the first place?

Kumbuka ana damu ya Kigogo pia....can never be serious! jokes usanii ndo mwake...
 
To do so you must come up with an alternative. Umesema nini kifanyike but haujasema haswa hiyo nchi bila bunge litaendeshwaje. How will your idea b implimented logically? Labda unge tueleza kidogo.

Nimeeleza hatuhitaji bunge, sasa unataka ni-explain nini cha ziada? Bunge ni sehemu crucial sana ambapo pesa za wavuja jasho zinakuwa drain to the tunnel kwa kisingizio cha demokrasia.

Nimezungumza machache tu. Mathalan kutunga sheria, kutunga sheria ni evolution na ni kazi ya kitaalamu sio politiki au kazi ya wabunge ambao most of them ni laymen (and of of course laywomen too).

Nimezungumzia kuhusu kuisimamia serikali. Bunge letu halina historia ya kuisimamia serikali.Na hata likitaka kuisimamia politiki itaiteka nyara ishu nzima na hakuna litakalofanyika.

Naongezea, kupitisha bajeti; Hii ni kazi ya kitaalamu na wataalamu wangeichiwa waifanye kwa umahiri wao wote. Utaratibu wa sasa inapoletwa bungeni ni vichekesho vitupu na zaidi na hamna input yeyote ya maana kutoka kwa wabunge, zaidi ya wao kusema sijaona jimbo langu limetajwa bla bla blah..

Tuendelea kujadili
 
Nimeeleza hatuhitaji bunge, sasa unataka ni-explain nini cha ziada? Bunge ni sehemu muhimu sana ambapo pesa za wavuja jasho zinakuwa drain to the tunnel kwa kisingizio cha demokrasia.

Nimezungumza machache tu. Mathalan kutunga sheria, kutunga sheria ni evolution na ni kazi ya kitaalamu sio politiki au kazi ya wabunge ambao most of them ni laymen.

Nimezungumzia kuhusu kuisimamia serikali. Bunge letu halina historia ya kuisimamia serikali.

Naongezea, kupitisha bajeti; Hii ni kazi ya kitaalamu na wataalamu wangeichiwa waifanye, kwani hata utaratibu wa sasa inapoletwa bungeni vichekesho zaidi na hamna input yeyote ya maana kutoka kwa wabunge, zaidi ya wao kusema sijaona jimbo langu limetajwa bla bla blah..

Tuendelea kujadili

All I asked for is an explanation. Sikuuliza kwa ubaya. Anyways thanks for clarifying.
 
- Mkuu jaribu kuwa na jipya maana sasa umeanza kupitwa na wakati na hizi sumu zako, vipi General Mboma anafaaa au? Bwa! ha! ha!

FMEs!


MKUU General mbona hafai pure and simple. Angalia alivyolivuruga jeshi, sidhani kama anaweza kutufaa. Lakini kuna dogo linanitatiza, naweza nikaungana na baadhi ya wanapenda wabunge fulani fulani wasirudi 2010. Mbunge sio kama tu ana jukumu la kuangalia maendeleo yake binafsi, bali pia ana jukumu la kuangalia maendeleo na maslahi ya constituents, na zaidi anatakiwa kuangalia maslahi ya taifa. Baadhi ya waliotajwa ni wale ambao kwao maslahi ya taifa na maslahi ya constituents hayana maana. Hata dhamira zao zinawasuta, wanajua kipi ni sahihi lakini wanafanya kisicho sahihi na kujaribu kutu-fool.
Naweza kutoa mfano tu, Surukamba anamanufaa gani kwa constituents, Taifa na chama, Rostam anamanufaa gani, EL ana manufaa gani. Zaidi utaona kuwa wao wapo kwa manufaa yao binafsi na kuongopea watu. Mengine sioni kama ni majungu ni common sense tu. Tukiwa na vibrant parliament kunakuwa na uwezekano wa nchi kupiga hatua. Tuwe na wabunge kama Slaa type, au Kanali Kimbau type kama alivyokuwa enzi zile.
 
Kweli kabisa swala la KINGUNGE kuwa bado mbunge inatia haibu na inawanyima vijana haki kabisa huyu jamaa anatakiwa alalembele .Kama aliwekwa kwa ajili ya kutishia vyama vya upinzani aambiwe vyama havina nguvu.Hata michango yake haina nguvu kabisa .Anatakiwa akaye nyumbani watu wale masaa ya kumtunza.
Pia mzee Malekela anatakiwa apumzike sasa inatosha kwani hana jipya kabisa bali ni kusifia ufisadi .Mtambo mwingine ni Pius Msekwa huu nao umechoka kwani hana jipya hao jamaa ndio wanalea uozo wa ccm.
 
- Mkuu Uwiano jimbo la Mtera bado tunamuhitaji sana mbunge wetu, kama una ubavu njoo na wewe ugombee naye, otherwise acheni majungu, sisi wananchi wa hayo majimbo ndio tunaojua nani anatufaa, mmeshindwa kuchagua rais anayefaa leo eti mna ubavu wa kutuchagulia wabunge, acheni hizo mkuu chukua fomu kama una ubavu!

FMEs!

"chukua fomu kama una ubavu!" good advise. Vijana wa Tanzania tuko very weak, na hii ndiyo sababu kubwa ya kuburuzwa. Hapo Mzee ES amesema sawa kabisa, vijana tuwe na ubavu wa kushindana tusikae back bench na kupiga kelele mzee mzee, kachukue FOMU ili ujipime; maana suala ni uwezo siyo zaidi ya hapo.
 
Back
Top Bottom