Jamani someone said anaenda kupumzika amechoka kulumbana. Au maana ya kupumzika ni kutuma post zaidi sielewi? maana tulisha mruhusu na kumuaga aka pumzike salama ila tunaona post zake zina tiririka tu.
JF kuna wakongwe kumbe, watu wanakumbuka mambo ya mwaka 1984 yaliosemwa na mzee Malecela.
- Alibadili jina na kuitwa Jumanne ili apewe pesa si unajua kua anazo nyingi sana mpaka leo alizopewa na Iran kama ulivyosema mwenyewe, sasa wewe ndio umeleta hii hoja halafu unauliza maswali vipi tena mkuu, BWa! gha! ha!
Respect.
FMEs!
Mzee wewe kwani mgeni naye? Huwa anaaga kabisa JF na kutangaza atakuwa anaonekana kwenye TV, news bulletins na kwenye maradio baada ya siku mbili huyu anarudi, NO Tv and what not.....huyo ndiye mzee wa sauti....
Kwenye hiyo orodha sijui kigezo gani mmetumia, kwa sababu mtu kama Kapuya huwezi kumuondoa kalifanyia mengi jimbo lake, mtu ambaye wote mkoani Tabora wanajua anaondoka ni Msekela hilo halina swali. Ya Idodomya wao jamaa kaamua kuwa mbunge wa maisha ha ha ha ha
Thanks for the info. Kumbe watu tuna bishana na mtu all talk no action. Hahahaha. Ila Watz wengi hivyo, maneno mengi hakuna wanacho fanya. Isn't that what got us in this mess in the first place?
To do so you must come up with an alternative. Umesema nini kifanyike but haujasema haswa hiyo nchi bila bunge litaendeshwaje. How will your idea b implimented logically? Labda unge tueleza kidogo.
Nimeeleza hatuhitaji bunge, sasa unataka ni-explain nini cha ziada? Bunge ni sehemu muhimu sana ambapo pesa za wavuja jasho zinakuwa drain to the tunnel kwa kisingizio cha demokrasia.
Nimezungumza machache tu. Mathalan kutunga sheria, kutunga sheria ni evolution na ni kazi ya kitaalamu sio politiki au kazi ya wabunge ambao most of them ni laymen.
Nimezungumzia kuhusu kuisimamia serikali. Bunge letu halina historia ya kuisimamia serikali.
Naongezea, kupitisha bajeti; Hii ni kazi ya kitaalamu na wataalamu wangeichiwa waifanye, kwani hata utaratibu wa sasa inapoletwa bungeni vichekesho zaidi na hamna input yeyote ya maana kutoka kwa wabunge, zaidi ya wao kusema sijaona jimbo langu limetajwa bla bla blah..
Tuendelea kujadili
- Mkuu jaribu kuwa na jipya maana sasa umeanza kupitwa na wakati na hizi sumu zako, vipi General Mboma anafaaa au? Bwa! ha! ha!
FMEs!
- Mkuu Uwiano jimbo la Mtera bado tunamuhitaji sana mbunge wetu, kama una ubavu njoo na wewe ugombee naye, otherwise acheni majungu, sisi wananchi wa hayo majimbo ndio tunaojua nani anatufaa, mmeshindwa kuchagua rais anayefaa leo eti mna ubavu wa kutuchagulia wabunge, acheni hizo mkuu chukua fomu kama una ubavu!
FMEs!