Wasiotahiriwa huwa na akili nyingi na hufanana sana na watoto wao

Wasiotahiriwa huwa na akili nyingi na hufanana sana na watoto wao

Hakuna uhusiano uliopo kati ya tohara na akili

Nadhan sijui unawaza nn
Inaweza uhusiano usiwepo lakini kwake ulikuwepo. Ni hivi, wakati akiwa shule ya awali na bado hajatahiriwa kichwa cha chini kilikuwa bado kimefunikwa kilikuwa hakijui nini inaendelea duniani, kwahiyo akili yote ilikuwa ipo kichwani tu, sasa baada ya kichwa cha chini kuvuliwa kofia kikapata akili, kwahiyo ikabidi akili ya kichwa cha juu igawanywe na kwenye kichwa cha chini pia, kwahiyo akili zikapungua kwenye kichwa cha juu.
 
Ushahidi upo kuwa watu wasiotahiriwa huwa na uwezo mkubwa darasani ukilinganksha na waliofanyiwa tohara,mfano ni Mimi mwenyewe kabla ya kufanyiwa tohara nilikuwa mzuri was hesabu darasani na kushika namba moja bila kwenda tuition,nilikuwa najifunza mwenyewe Ila baada yq kutahiri nikiwa darasa la saba nilipoingia form one nikapoteza uwezo was kumiliki hesabu,
Pia watoto waliozaliwa na wazazi walio bado kupata tohara hufanana copy right na wazazi wao,angalia makabila yasiotahitri yalivyo na IQ kubwa japo sitayataja,huu ni uchunguzi wangu,niiteMlokozi

Mkuu Frank, mbona unataka kupotosha umma !!, hebu niambie ili mtu aonekane anajua hesabu ni kigezo kipi hutumiwa kumpima?!, pia nani amekuambia kuwa anayejua hesabu ndiye mwenye akili kuliko watu wengine??, umesema kuwa wewe kabla hujatahiriwa ulikuwa unajua hesabu na ulikuwa unashika namba moja kwa hesabu ukiwa shule ya msingi, hapa lazima utambue kwamba kuna mambo matatu yanayoweza kuwepo ili ushike namba moja kwanza ni aina gani za hesabu unazozungumzia na pili wanafunzi wenzako uwezo wao ulikuwa katika kiwango kipi na tatu kufanya sana mazoezi ya hisabati.

Juu ya yote hakuna ushahidi wa kisayansi kwamba kuna uhusiano kati ya uwezo wa mtu katika hisabati na tohara.

Na hakuna mtu duniani anayejua hisabati aliyepita au aliyekuwepo.

Hisabati ni uwanja mpana mno na kila siku matawi mapya yanagunduliwa hivyo basi hakuna anayejua hisabati kwa sababu ni kidogo sana mwanadamu anajua katika hisabati.
 
Ushahidi upo kuwa watu wasiotahiriwa huwa na uwezo mkubwa darasani ukilinganksha na waliofanyiwa tohara,mfano ni Mimi mwenyewe kabla ya kufanyiwa tohara nilikuwa mzuri was hesabu darasani na kushika namba moja bila kwenda tuition,nilikuwa najifunza mwenyewe Ila baada yq kutahiri nikiwa darasa la saba nilipoingia form one nikapoteza uwezo was kumiliki hesabu,
Pia watoto waliozaliwa na wazazi walio bado kupata tohara hufanana copy right na wazazi wao,angalia makabila yasiotahitri yalivyo na IQ kubwa japo sitayataja,huu ni uchunguzi wangu,niiteMlokozi
Sio mchezo
 
Hapana tohara haihusiani kabisa na IQ
 
Unamaanisha kichwa cha chini kilipunguzwa na cha juu kikapungua?
 
90% ya wazungu hawatahiri,tazama uwezo wao kiakili,100% ya waarabu wanatahiri,tazama yalivyo mafala,unataka research gani tena?
Acha uongo wewe kuna mtu alishawahi kuja na utafiti wake hewa Mashoga ndio hua wanakua na akili sana
 
90% ya wazungu hawatahiri,tazama uwezo wao kiakili,100% ya waarabu wanatahiri,tazama yalivyo mafala,unataka research gani tena?

💯% ya Wayahudi wanatahiri 😎, Kuna wengine wanasema hamna wenye akili Kama "taifa teule" n.k

Wakatabahu
 
mshana jr ina maana hizi mada fikirishi zimeisha tumeingia kwenye mipasho ? hawa vijana wa fb wanatuburuza kuekekea wapi ? GT inaenda kwa wenye malumbano ya wa kina.. ? naomba tuwakaripie kwa nguvu zetu zote
 
Ingekua kweli wajaluo wangekua ma Tanzania one kila msimu wa matokeo ya necta
 
Katika hii mada tumejibu kwa. kufuata majibu ya kisayansi. Huku tukisema hakuna uthibitisho wa kisayansi unaothibisha hilo. Ila pia tukumbuke sayansi haijathibitisha kila kitu. Mi naona tungelitoa hoja fikirishi juu ya mjadara wa mtoa mada. Maana hata sisi twaweza fanya utafiti na ukaongezwa katika tafiti si kila kitu tusubiri maelezo ya nasa
 
Back
Top Bottom