tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,315
BoloyankiGovinda.
Inaweza uhusiano usiwepo lakini kwake ulikuwepo. Ni hivi, wakati akiwa shule ya awali na bado hajatahiriwa kichwa cha chini kilikuwa bado kimefunikwa kilikuwa hakijui nini inaendelea duniani, kwahiyo akili yote ilikuwa ipo kichwani tu, sasa baada ya kichwa cha chini kuvuliwa kofia kikapata akili, kwahiyo ikabidi akili ya kichwa cha juu igawanywe na kwenye kichwa cha chini pia, kwahiyo akili zikapungua kwenye kichwa cha juu.Hakuna uhusiano uliopo kati ya tohara na akili
Nadhan sijui unawaza nn
HahahaaaHivi wasukuma siku hizi wanatahiri?
Ushahidi upo kuwa watu wasiotahiriwa huwa na uwezo mkubwa darasani ukilinganksha na waliofanyiwa tohara,mfano ni Mimi mwenyewe kabla ya kufanyiwa tohara nilikuwa mzuri was hesabu darasani na kushika namba moja bila kwenda tuition,nilikuwa najifunza mwenyewe Ila baada yq kutahiri nikiwa darasa la saba nilipoingia form one nikapoteza uwezo was kumiliki hesabu,
Pia watoto waliozaliwa na wazazi walio bado kupata tohara hufanana copy right na wazazi wao,angalia makabila yasiotahitri yalivyo na IQ kubwa japo sitayataja,huu ni uchunguzi wangu,niiteMlokozi
Sio mchezoUshahidi upo kuwa watu wasiotahiriwa huwa na uwezo mkubwa darasani ukilinganksha na waliofanyiwa tohara,mfano ni Mimi mwenyewe kabla ya kufanyiwa tohara nilikuwa mzuri was hesabu darasani na kushika namba moja bila kwenda tuition,nilikuwa najifunza mwenyewe Ila baada yq kutahiri nikiwa darasa la saba nilipoingia form one nikapoteza uwezo was kumiliki hesabu,
Pia watoto waliozaliwa na wazazi walio bado kupata tohara hufanana copy right na wazazi wao,angalia makabila yasiotahitri yalivyo na IQ kubwa japo sitayataja,huu ni uchunguzi wangu,niiteMlokozi
Hapana tohara haihusiani kabisa na IQUshahidi upo kuwa watu wasiotahiriwa huwa na uwezo mkubwa darasani ukilinganksha na waliofanyiwa tohara,mfano ni Mimi mwenyewe kabla ya kufanyiwa tohara nilikuwa mzuri was hesabu darasani na kushika namba moja bila kwenda tuition,nilikuwa najifunza mwenyewe Ila baada yq kutahiri nikiwa darasa la saba nilipoingia form one nikapoteza uwezo was kumiliki hesabu,
Pia watoto waliozaliwa na wazazi walio bado kupata tohara hufanana copy right na wazazi wao,angalia makabila yasiotahitri yalivyo na IQ kubwa japo sitayataja,huu ni uchunguzi wangu,niiteMlokozi
Acha uongo wewe kuna mtu alishawahi kuja na utafiti wake hewa Mashoga ndio hua wanakua na akili sana90% ya wazungu hawatahiri,tazama uwezo wao kiakili,100% ya waarabu wanatahiri,tazama yalivyo mafala,unataka research gani tena?
90% ya wazungu hawatahiri,tazama uwezo wao kiakili,100% ya waarabu wanatahiri,tazama yalivyo mafala,unataka research gani tena?
Hahahaha mkuu umefanya nimecheka sana hilo jina MARIOO!Haya marioo