Wasiotahiriwa huwa na akili nyingi na hufanana sana na watoto wao

Ila kuna watu mkibugia k-vant mnakuwa wajinga sana.Kwa hiyo akili zako zilikuwa zinatika kwenye govi?Donkey!
 
Hilo dude lina uhusiano na uchafu tu! Najua wakati hujatahiri ulikuwa unawaogopa mademu ndo maana ulisoma kwa bidii. Siku ulipopata AK 47 peeled ukajiona mjanja waweza chovyachovya na hapo shule ukaisahau
 
heh huu uzi ni wa Jf lack of intelligence!
Yaani sample size ni moja (1) ambayo ni wewe mwenyewe halafu unaweka kichwa cha habari kama una Data mbalimbali
 
Mkuu kaondoe tu huo uchafu, kiroho safi. Kuna faida nyingi zaidi ukiwa umetahiriwa kulika ukiwa haujatahiriwa, haya ni mambo ya kisayansi zaidi. Haya mambo uliyoamua kutuletea leo ni ramli farijishi, usijifariji Mkuu.
Hivi ni kwa nini Mungu alimuumba nwanadamu na govi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo dalili za vyuma kukaza au unatafuta chaka la kuficha udhaifu wako kiakili ionekane tohara ndo sababu. Wayahudi wanatahiriwa siku ya nane baada tu ya kuzaliwa ndo miongoni mwa jamii yenye IQ kubwa sana duniani. Govi haina uhusiano na IQ.
 
Magu akikamata 30 wabongo wengi watakua wanafalsafa na wanautafiti.. hii ni tano tuu tafiti zimekua nyingi sana.. vyuma havina (girisi)
 
Aisee Kimario hivi hawajakuroga kweli? Naona unasingizia govi ya kichwa kidogo chalii
 
UNCIRCURMCISED uzi, mweka uzi na akili yake unatembea na manajisi eti akili kubwa, sema hivi ulipokiuwa na govi ukijiona mshamba na after yake ukaanza mambo ya kisela walau ukajiona kidume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…