Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye mwenyewe alifanya kulazimishwa na Hayati Daniel Arap Moi ili aingie kwenye siasa lakini kinywaji kilikuwa kimemchukua sana.
Amemix blood ni jambo zuri sana ili kuondoa uzezeta kwenye familia.
Raisi mstaafu na jirani yetu mpendwa Ndugu Uhuru Kenyatta anastahil pongezi kwa kuiheshimu na kuifuata Katiba ya Kenya.
Mungu amjaalie.
Karibu CHADEMA, naona umesharudisha Ubongo wako kutoka kwenye Store ya Lumumba.Aisee hapa kwetu hali ni tofauti.
Yaani hao watoto wa kishua badala ya kutumia fedha ambazo baba zao walitupiga na kufungua makampuni ili waajiri vijana wenzao.
Ndio kwanza wamejazana kwenye taasisi zote zenye neema.
Wengine wamekaba nafasi za kisiasa ili kulinda maslahi ya familia zao.
Kinachoendelea ni aina flani hivi ya ukoloni ndani yetu wenyewe.
Baada ya kuwaondoa wazungu tumebakia na hawa kupe.
Aisee hapa kwetu hali ni tofauti.
Yaani hao watoto wa kishua badala ya kutumia fedha ambazo baba zao walitupiga na kufungua makampuni ili waajiri vijana wenzao.
Ndio kwanza wamejazana kwenye taasisi zote zenye neema.
Wengine wamekaba nafasi za kisiasa ili kulinda maslahi ya familia zao.
Kinachoendelea ni aina flani hivi ya ukoloni ndani yetu wenyewe.
Baada ya kuwaondoa wazungu tumebakia na hawa kupe.
Asante mkuu.Karibu CHADEMA, naona umesharudisha Ubongo wako kutoka kwenye Store ya Lumumba.
Nakumbuka tulikuwa wote CCM mimi nikahama ulifikiri mjinga?
Hata hao walioajiriwa eti wasiongelee Tozo, sasa Job security ni kuiabudu CCM hata kama unaumia?.Kwetu wakitutaka sisi kujiajiri wao hilo haliwahusu. Majina yale yale siyo BoT tu, bali hata bungeni, makatibu wakuu uwaziri Hadi urais.
"Oneni japo aibu kidogo basi? Au Hadi tujipange kupindua meza ndipo mzinduke? Haitakuwa mmechelewa mno?"
Asante mkuu.
Bado nipo na lumumba yangu. Nakomaa nayo tu.
Zimwi likujualo.
Mkuu siku hizi unanifurahisha sana umebadilika sana,sio tena lile" Zombie" la Polepole.Asante mkuu.
Bado nipo na lumumba yangu. Nakomaa nayo tu.
Zimwi likujualo.
Amina .Mkuu siku hizi unanifurahisha sana umebadilika sana,sio tena lile" Zombie" la Polepole.
Mungu akujaalie.
Mkuu siku hizi unanifurahisha sana umebadilika sana,sio tena lile" Zombie" la Polepole.
Mungu akujaalie.
Ajenda yetu kuu,Katiba Mpya! Katiba Mpya! ikishapatikana na ifuatwe,hii ya sasa yenyewe haifuatwi inavyotakiwa.Katiba mpya ndiyo
Ajenda yetu kuu,Katiba Mpya! Katiba Mpya! ikishapatikana na ifuatwe,hii ya sasa yenyewe haifuatwi inavyotakiwa.
Hii Tanzania ni yetu sote,na lengo letu ni kuiona inakuwa mahali pa HAKI na SALAMA na penye UPENDO wa DHATI. Mungu atusaidie.Amina .
Tupo pamoja mkuu.
Penye nia Pana njia. Tutafika tu.Hii Tanzania ni yetu sote,na lengo letu ni kuiona inakuwa mahali pa HAKI na SALAMA na penye UPENDO wa DHATI. Mungu atusaidie.
Swadakta! Mungu Ibariki Tanzania.Penye nia Pana njia. Tutafika tu.