Wasipokuwa makini kwa hili nchi itajigawa kimakundi

Hatri sana
 
Nitakuloga shauri yako
 
Mwanasimba chagua upinzani mwakani hawa nzi wa kijani achaneni nao.
 
Kumbe hili swala limeleta nongwa kiasi hii duuuuh
 
Ndio shida serikali kujiinga kwenye vitu vya kipuuzi,mnalipia mashabiki wakati kuna wanafunzi wanakaa chini,
Serikali inaingia gharama kulipa wenza wa wastaafu, watu kujiongezea maposho hovyo.
Hii nchi ni kama ina laana vile.
Wakati serikali inalipa pesa kwa "goli la mama" kwa kila mechi, mashabiki si mlifurahi timu zenu kukusanya hela. Hao wanafunzi hawakuwepo wakati huo?
 
Timu inaenda kutolewa harafu mpewe ndege 😉😃
 
Nyinyi ni miongoni mwa wendewazimu hapa Tanzania/Tanganyika,mnaodhani na kuamini kwamba Kila raia ni Simba na Yanga.

Watu tupo na Eagle Fc/Kinyamkela FC/Chupukizi Fc,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…