ilore
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 963
- 1,248
Hatri sanaHabari Jr
Hoja ni fupi mno Simba sc wanasafiri kesho alfajiri na inaondoka na mashabiki 17, hawa mashabiki wanaenda kujilipia wenyewe kila kitu.
Serikali muwe seriously na hii kitu mnaingiza siasa kwenye mpira,mashabiki wengi wa mpira hususani mashabiki wa Simba wameumia kitendo cha kumpendelea mmoja.
Mwisho msipokuwa makini mpira kuupeleka kwenye siasa mnaenda kugawa mashabiki kupitia Serikali.
Fikra zangu huwa zinaona mbali kama nilivyoona mh Paul makonda kuwa raisi 2030.