Hivi kwa nini nyie chawa mlikimbia shule kenge nyinyi?...Polepole masikini uso umempauka kwa kujitia presha. Kusha ona hakuna anaempa heshima Tena.
Rudi kwa mama umuabgukie miguuni upate radhi. Vinginevyo ni uchizi tu
HP ni level nyingine. Na unaweza kushawishi hivyo, endapo kwa kiasi kikubwa unasema ukweli !Polepole anashawishi kumsikiliza akiwa anaongea!
Chalamila and the likes they are just insects ...wamenyamazishwa papa la mapapa ..rostam..yatakua hayo vidagaa 😂 ..kila kitu kitawekwa wazi..ukombozi huja kwa kusikia unaposikia inaenda akilini na hizi video na audio zitaishi hata watoto wetu watakuja kusikia na kutazamaChalamila alijaribu akaona mkono wake uko hatarini kuungua.
Msando nae akaja na tusheria twake akachapwa chapwaChalamila alijaribu akaona mkono wake uko hatarini kuungua.
HahahaMsando nae akaja na tusheria twake akachapwa chapwa
Naamini kila kitu kuhusu yeye, huoni sura yake tu ilivyo?inasemekana alifika hapo alipo kwa mambo ya ULOZI yeye alishawahi kuukumbatia ule mbuyu pale oysterbay nchana kweupe akiwa uchi kabisa. hata wachina wa Mwendokasi ilibidi waukwepe. mchawi sana wasira