Pre GE2025 Wasira ameupata Ubunge akiwa na miaka 23 leo ana miaka 80. Nini hajafanya Tanzania mpaka apewe umakamu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Miaka hiyo miaka 23 hata darasa la saba hajamaliza. Wacha uwongo wako humu.
 
Usiache pia kumwuliza aliyekula kona mdahalo jana. Kuwa nini bado mzee?
Tena huyo aliyekula Kona kwenye mdahalo kupitia uteuzi wa Wasira, ndiyo amepata hoja ya kuchomokea
 
CCM wamemchoka so wameona wampikie dawa mapema .hiyo nafasi ya umakamu sijui kama ina dhamira njema kwake ni heri angejikatalia awape vijana nafasi ya kukitumikia chama.
 
Vijana wenyewe ndio hao machawa, akina Mwashambwa; Talalila, Choicevariable, kweli unatarajia hao wateiwe na wafanye chochote cha maana?

Wanaona ahwri wateue vikongwe kuliko vijana machawa wasuonitambua.

Kuna Wengine huku:



Maoni yako tafadhali.
 
Tatizo huwa hamjichanganyi, ungependekeza jina lako labda ungeteuliwa.

Huwa mnasubiri uteuzi unapita mnaanza kulalamika.

Kwa kile chama ile nafasi wanateua hagombei.
Inawezekana 🀣🀣
 
Sikatai nafasi kama ile haifai kupewa kijana ila sio kwa mzee wasirra jaman, he is too old for sure. Angalieni marekani nafas muhim kuna kijana? Ila sio kwa Wassira aanh ni mzee sana kmk
 
Tatizo huwa hamjichanganyi, ungependekeza jina lako labda ungeteuliwa.

Huwa mnasubiri uteuzi unapita mnaanza kulalamika.

Kwa kile chama ile nafasi wanateua hagombei.
🀣 🀣 🀣
 
Hata kwenye hii awamu ya Sita Wassira YUPO (rejea kauli ya Makongoro Nyerere)
 
Itoshe tu kusema CCM wanatatizo, nimemiss wabunge walikuwa wanalala bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…