Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka hiyo miaka 23 hata darasa la saba hajamaliza. Wacha uwongo wako humu.Nawauliza CCM Stephen Wassira Nini hajafanya Tanzania kuanzia akiwa mbunge kwa umri wa miaka 23 mpaka Leo ana miaka 80 Bado anakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM? Hizi ni zalau
Vijana mlio kusanyika Dodoma kweli mkienda kumchagua Wasira for your future or kwa ajili ya wazee wenzie?
Soma Pia: Stephen Wassira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara
Real Samia Suluhu Hassani kabisa umekubali kumteua Wasira mwandishi wa ilani kuwa Makamu?
Hivi Samia utapata wapi nguvu za kumtuma Mzee wa kikurya akazunguke nchi nzima kuubiri kazi iendelee?
Tena huyo aliyekula Kona kwenye mdahalo kupitia uteuzi wa Wasira, ndiyo amepata hoja ya kuchomokeaUsiache pia kumwuliza aliyekula kona mdahalo jana. Kuwa nini bado mzee?
tena dunianiCcm ni chama kikubwa? 😀😀😀
Vijana wenyewe ndio hao machawa, akina Mwashambwa; Talalila, Choicevariable, kweli unatarajia hao wateiwe na wafanye chochote cha maana?
Wanaona ahwri wateue vikongwe kuliko vijana machawa wasuonitambua.
Inawezekana 🤣🤣Tatizo huwa hamjichanganyi, ungependekeza jina lako labda ungeteuliwa.
Huwa mnasubiri uteuzi unapita mnaanza kulalamika.
Kwa kile chama ile nafasi wanateua hagombei.
🤣 🤣 🤣Tatizo huwa hamjichanganyi, ungependekeza jina lako labda ungeteuliwa.
Huwa mnasubiri uteuzi unapita mnaanza kulalamika.
Kwa kile chama ile nafasi wanateua hagombei.
Itoshe tu kusema CCM wanatatizo, nimemiss wabunge walikuwa wanalala bungeniNawauliza CCM Stephen Wassira Nini hajafanya Tanzania kuanzia akiwa mbunge kwa umri wa miaka 23 mpaka Leo ana miaka 80 Bado anakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM? Hizi ni zalau