Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Chalamila anasemajeBw. Wasira amelazimika kutoa maagizo hayo baada ya kufika eneo la mji mdogo Mlowo, Mkoa wa Songwe na kupata wasaa wa kusikiliza kero, ndipo mmoja wa wananchi akajitokeza kulalamikia gharama kubwa aliyotozwa alipofika kituo cha afya kujifungua.
Hili ni ZUGA tu hadi Uchaguzi uishe.Chalamila anasemaje