tozo kwa wajawazito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya- Dkt. Florence: Wajawazito wapate huduma za afya bila kikwazo cha fedha

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, amewataka waganga wakuu wa hospitali zote nchini kuanzia ngazi ya taifa, kanda, mkoa, wilaya hadi vituo vya afya vinavyomilikiwa na halmashauri kuhakikisha wajawazito na watoto wenye umri chini ya miaka mitano wanapatiwa huduma za matibabu bila kutozwa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira apiga marufuku wajawazito kutozwa fedha

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Tanzania Bara Bw. Stephen Wasira amewasili Mkoa wa Mbeya kwa ziara ya siku nne kuanzia Machi 17-20, huku akitoa maagizo mazito kwa halmashauri zote nchini kuacha mara moja kutoza fedha wanawake wajawazito wanaofika kwenye vituo vya afya kujifungua...
Back
Top Bottom