Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Dkt. Samizi ametoa maelekezo hayo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Morogoro Mjini, Mohamed Abood aliyeeleza kuwa licha miongozo hiyo lakini bado kumekuwa na usumbufu kwa wakinamama wanaoenda kujifungua hospitalini.
Soma Pia: Naibu waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi: Serikali itagharamikia bima ya afya kwa wote kwa makundi maalum
Amesema Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hutenga zaidi ya shilingi bilioni saba kila mwaka kugharamia huduma za afya kwa wajawazito na watoto chini ya miaka mitano, hivyo hakuna sababu ya kundi hilo kukataliwa au kutozwa fedha wanapohitaji matibabu katika vituo vya kutolea huduma za afya vya umma.
Soma Pia mijadala ya kero ya malipo kwa wajawazito
- Wajawazito wanalipia huduma Kituo cha Afya Nyangoto na hawapewi risiti, kadi za Kliniki wanapewa za photocopy sio original
- Kituo cha Afya Bunju kinatoza gharama kubwa kwa wamama wajawazito kwenye kliniki zao za kwanza hadi za mwisho. Huu ni wizi!
- Wajawazito wanalipishwa, risiti hawapewi katika Idara ya Afya Mpanda Manispaa Mkoani Katavi
Pia soma ~ Kituo cha Afya Mtae cha Lushoto - Tanga Wajawazito wanalipia hela ya Upasuaji bila Control Number na hakuna risiti