Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewahakikishia wananchi kuwa serikali imedhamiria kuboresha miundombinu ya kiuchumi ikiwemo ya kilimo kwa lengo la kutanua wigo wa maendeleo.
Miundombinu hiyo ni pamoja na kutoa mikopo ya matrekta wa wakulima wa pamba kwa nia ya kuwaongszea uwezo wa kuzalisha na kupata mavuno mengi zaidi.
Wasira ameyasema hayo wilayani Magu aliposimama kuwasalimia wananchi akiwa njiani kuelekea jijjni Mwanza ambako kesho atafanya mkutano mkubwa katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo.