Wasira awahakikishia wana Magu, Serikali itaendelea kufungua Uchumi

Wasira awahakikishia wana Magu, Serikali itaendelea kufungua Uchumi

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewahakikishia wananchi kuwa serikali imedhamiria kuboresha miundombinu ya kiuchumi ikiwemo ya kilimo kwa lengo la kutanua wigo wa maendeleo.

Miundombinu hiyo ni pamoja na kutoa mikopo ya matrekta wa wakulima wa pamba kwa nia ya kuwaongszea uwezo wa kuzalisha na kupata mavuno mengi zaidi.

Wasira ameyasema hayo wilayani Magu aliposimama kuwasalimia wananchi akiwa njiani kuelekea jijjni Mwanza ambako kesho atafanya mkutano mkubwa katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo.
20250211_093722.jpg
20250211_093717.jpg
20250211_093713.jpg
20250211_093708.jpg
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewahakikishia wananchi kuwa serikali imedhamiria kuboresha miundombinu ya kiuchumi ikiwemo ya kilimo kwa lengo la kutanua wigo wa maendeleo.

Miundombinu hiyo ni pamoja na kutoa mikopo ya matrekta wa wakulima wa pamba kwa nia ya kuwaongszea uwezo wa kuzalisha na kupata mavuno mengi zaidi.

Wasira ameyasema hayo wilayani Magu aliposimama kuwasalimia wananchi akiwa njiani kuelekea jijjni Mwanza ambako kesho atafanya mkutano mkubwa katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo.View attachment 3232872View attachment 3232873View attachment 3232874View attachment 3232875
Mzee hata akiwa amesimama anasinzia isije ikawa naye ni teja anabwia ngada.
 
1. Ni nani aliyeufunga huo uchumi?

2. Kwanini aliufunga uchumi?

3. Kwanini asichukuliwe hatua kwa kuufunga uchumi??
 
Back
Top Bottom