Hellow!
Si vyema kupoteza muda kuomba mtanange na mjukuu wako TUNDU Lissu aliye upinzani ilhali ndani ya chama chake anaye Mzee mwenzie, hasimu wake tangu unajanani waliyewahi kugombea Jimbo la Bunda mjini Mzee Warioba.
Kikao Cha TUNDU Lissu na Mzee Warioba ni BUSARA za Mwenyekiti wa CHADEMA kukuarifu Mzee Wasira juu ya mtu sahihi wa kijibizana naye.
HOJA zifuatazo ambazo Mzee Warioba amekuwa akizitoa bila majibu ni kama ifuatavyo.
1. Inayojiita Tume huru ya Uchaguzi ni hadaa Kwa umma wa Watanzania, Haina uhalali kisheria,ni batili.
2. Matumizi ya Dola kuingilia chaguzi zetu, ni jambo lisilokubalika, linanyima HAKI ya wananchi kuchagua viongozi wawatakao.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
3. Nchi inahitaji Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya kabla ya Uchaguzi wa October 2025.
4. RUSHWA ndani ya chama tawala imeshamiri sana na Kwa Hali hiyo, mfumo wote wa Sheria unaoanzia kwenye Katiba mpya unatakiwa kufanyika Kwa haraka.
Kwa ufupi, jibu HOJA za Mzee Mwenzio, kamwe usitupotezee muda wajukuu zako kutuletea hadithi zisizoeleweka.
Shkamoo Babu/ Sokoro Wassira,
Ubarikiwe Judge Warioba,
Ubarikiwe TUNDU Antipas Lissu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏