Wasira Azuru Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Magufuli

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (@ccmtanzania) Tanzania Bara, Stephen Wasira amezuru kuburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli, Chato mkoani Geita.

Wasira amezuru kaburi hilo leo Juni 18, 2025 akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama katika mkoa huo pamoja na kuzungumza na viongozi na wananchi kupitia vikao vya ndani na mikutano ya hadhara.
1750239689879.png
 
Awambie pia kuwa alishawahi kuzuiliwa kwenye kikao.
Na awambie pia kwamba alishawahi nukuliwq akisema " jpm siyo mwanasiasa" wakati ule pumzi zimebqnwa na jpm
Akatoe madubwasha yake pale mbuyuni ili mbuyu ule ukatwe barabara ijengwe
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (@ccmtanzania) Tanzania Bara, Stephen Wasira amezuru kuburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli, Chato mkoani Geita.

Wasira amezuru kaburi hilo leo Juni 18, 2025 akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama katika mkoa huo pamoja na kuzungumza na viongozi na wananchi kupitia vikao vya ndani na mikutano ya hadhara.
OKTOBA TUNA ✔️
 
Maisha bila siasa hayaendi
Na siasa bila unafiki hauendi
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (@ccmtanzania) Tanzania Bara, Stephen Wasira amezuru kuburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli, Chato mkoani Geita.

Wasira amezuru kaburi hilo leo Juni 18, 2025 akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama katika mkoa huo pamoja na kuzungumza na viongozi na wananchi kupitia vikao vya ndani na mikutano ya hadhara.
Mwinyi na Nkapa wamesahaulika .

Kweli kila mtu ana kete zake hapa Duniani
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (@ccmtanzania) Tanzania Bara, Stephen Wasira amezuru kuburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli, Chato mkoani Geita.

Wasira amezuru kaburi hilo leo Juni 18, 2025 akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama katika mkoa huo pamoja na kuzungumza na viongozi na wananchi kupitia vikao vya ndani na mikutano ya hadhara.
Wataenda kutambika kwa mwamba Hadi lini? Wamemgeuza kwasasa kama kioo kujitazama makosa yao na kutafuta hutumia kwa wananchi. Ok, Magufuli umetuachia Shida na janga.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (@ccmtanzania) Tanzania Bara, Stephen Wasira amezuru kuburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli, Chato mkoani Geita.

Wasira amezuru kaburi hilo leo Juni 18, 2025 akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama katika mkoa huo pamoja na kuzungumza na viongozi na wananchi kupitia vikao vya ndani na mikutano ya hadhara.
Wanajisomba kupeleka unafiki kwenye mzimu uliowamudu akifikiri watabebwa kirahisi mwaka huu ijapokuwa upinzani wanauzima kwa ghama zoote!!!!
 
Back
Top Bottom