Wasira: CCM Haibebwi, inafanikiwa kwa ukubwa wake na Imani ya Wananchi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema Chama kinapata maendeleo kutokana na ukubwa wake, kusimamia, ahadi na imani kubwa ya wananchi kwa Chama.

Kauli ya Wasira imekuja siku chache baada ya Kiongozi kutoka katika chama kimoja Cha Upinzani na kudai CCM inabebwa na serikali.
wASIRA.jpeg
Wasira meyasema hayo leo Machi 26, 2026 alipozungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la ofisi za Chama Mkoa wa Geita ambalo ujenzi wake unatarajiwa kutumia sh bilioni 1.5.

“Tulipokuwa tunakuja mtu mmoja akanipa simu yake nimsikilize mkubwa mmoja wala sitaki kumtaja jina, anadai CCM ni Chama kinabebwa na serikali, sasa ningemwalika hapa aone tumejenga hapa atwambie kasma namba ngapi imeleta pesa Geta.

Soma Pia: Wasira: Badala ya kulalamika fanyeni kazi muwe kama Samia

“Unajua ukikosa la kusema na mdomo unao unaweza kusema chochote kwani usiposema chochote mdomo utakosa kazi utakuwa unakula tu bila kusema na mdomo una kazi ya kula na kusema.
 
Ni kweli ccm ni chama kikubwa kwa sababu za kihistoria, ila si chama bora. Siku hizi sifa kuu ni ubora na ufanisi, na si ukubwa kwa sababu za kihistoria.
 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema Chama kinapata maendeleo kutokana na ukubwa wake, kusimamia, ahadi na imani kubwa ya wananchi kwa Chama.

Kauli ya Wasira imekuja siku chache baada ya Kiongozi kutoka katika chama kimoja Cha Upinzani na kudai CCM inabebwa na serikali.
Wasira meyasema hayo leo Machi 26, 2026 alipozungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la ofisi za Chama Mkoa wa Geita ambalo ujenzi wake unatarajiwa kutumia sh bilioni 1.5.

“Tulipokuwa tunakuja mtu mmoja akanipa simu yake nimsikilize mkubwa mmoja wala sitaki kumtaja jina, anadai CCM ni Chama kinabebwa na serikali, sasa ningemwalika hapa aone tumejenga hapa atwambie kasma namba ngapi imeleta pesa Geta.

Soma Pia: Wasira: Badala ya kulalamika fanyeni kazi muwe kama Samia

“Unajua ukikosa la kusema na mdomo unao unaweza kusema chochote kwani usiposema chochote mdomo utakosa kazi utakuwa unakula tu bila kusema na mdomo una kazi ya kula na kusema.
Blood wizi, weka uwanja wasa halafu urudi useme haya
 
mkubwa Sugu moto chini, kumbe wapo sensitive kiasi cha kuzingatia harufu hata ya ushuzi tu... Duh
 
CCM inapendwa kwa maendeleo na ufanisi wa kujenga nchi!
 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema Chama kinapata maendeleo kutokana na ukubwa wake, kusimamia, ahadi na imani kubwa ya wananchi kwa Chama.

Kauli ya Wasira imekuja siku chache baada ya Kiongozi kutoka katika chama kimoja Cha Upinzani na kudai CCM inabebwa na serikali.
Wasira meyasema hayo leo Machi 26, 2026 alipozungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la ofisi za Chama Mkoa wa Geita ambalo ujenzi wake unatarajiwa kutumia sh bilioni 1.5.

“Tulipokuwa tunakuja mtu mmoja akanipa simu yake nimsikilize mkubwa mmoja wala sitaki kumtaja jina, anadai CCM ni Chama kinabebwa na serikali, sasa ningemwalika hapa aone tumejenga hapa atwambie kasma namba ngapi imeleta pesa Geta.

Soma Pia: Wasira: Badala ya kulalamika fanyeni kazi muwe kama Samia

“Unajua ukikosa la kusema na mdomo unao unaweza kusema chochote kwani usiposema chochote mdomo utakosa kazi utakuwa unakula tu bila kusema na mdomo una kazi ya kula na kusema.
Huyu Mzee ana sumbuliwa na "senility" kutokana na umri mkubwa alioufikia. Kwa umri wake ni vyema angeepuka kutoka hadharani na kuropoka ropoka hovyo.
 
Nyinyi mnafanya siasa bila bugudha ilihali wenzenu mmewafungia kufanya siasa!,bado pamoja na kufungiwa kufanya siasa lakini kila muendapo majukwaani kazi ni kuwananga wapinzani wenu wa kisiasa!
 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema Chama kinapata maendeleo kutokana na ukubwa wake, kusimamia, ahadi na imani kubwa ya wananchi kwa Chama.

Kauli ya Wasira imekuja siku chache baada ya Kiongozi kutoka katika chama kimoja Cha Upinzani na kudai CCM inabebwa na serikali.
Wasira meyasema hayo leo Machi 26, 2026 alipozungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la ofisi za Chama Mkoa wa Geita ambalo ujenzi wake unatarajiwa kutumia sh bilioni 1.5.

“Tulipokuwa tunakuja mtu mmoja akanipa simu yake nimsikilize mkubwa mmoja wala sitaki kumtaja jina, anadai CCM ni Chama kinabebwa na serikali, sasa ningemwalika hapa aone tumejenga hapa atwambie kasma namba ngapi imeleta pesa Geta.

Soma Pia: Wasira: Badala ya kulalamika fanyeni kazi muwe kama Samia

“Unajua ukikosa la kusema na mdomo unao unaweza kusema chochote kwani usiposema chochote mdomo utakosa kazi utakuwa unakula tu bila kusema na mdomo una kazi ya kula na kusema.
Inabebwa na hata wewe unaibeba.
 
Sasa wanaogopa nini kuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI? Wanaogopa nn kuleta katiba mpya?
 
Back
Top Bottom