Wasira: CCM tulichepuka, tunataka Kurudi Njia Kuu

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema CCM imeazimia kujifanyia tathimini kwa kupata maoni ya wanachama wake ngazi za chini kuelekea uchaguzi wa chama hiko kwa lengo la kupata viongozi bora na kushughulikia kikamilifu changamoto za Watanzania.

Ameyasema haya mkoani Kigoma alipokuwa akizungumza na viongozi wa CCM kwa Nyakati tofauti katika wilayani Buhigwe, Kasulu pamoja na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Mkoa, akiwa katika ziara ya kichama mkoani humo.
 
 
Wamrudishe kwanza PolePole, ndio tutaanza ona wanataka rudi njia kuu
 
Spent force!
 
Hakuna wa kuwaelewa tena milele

Mungu awazidishie laana wauwaji wakubwa hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…