Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
"...wapo rafiki zetu nao wanataka nchi hii wanataka tuwaachie ..." Ushahidi unaendelea kutolewa kuwa CCM ndio inaamua ushindi na sio wananchi. Kama ni wananchi si angesema: wapo rafiki zetu nao wanataka kupewa ridhaa ya kuongoza nchi na wananchi. Halafu, kutaka kuongoza dola ni lengo kuu la chama cha siasa.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, ameikaribisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika uchaguzi lakini ameipa angalizo kuwa isitatarajie kuambulia chochote katika nafasi ya urais.
Soma Pia: Wasira atupa vijembe kwa Chadema, adai wakienda ikulu watagawana hadi vikombe
Wasira ameyasema hayo jana Januari 30, 2025, alipokuwa akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na wananchi wa Bunda mjini.
Halafu Mzee akijibiwa na akina "Tundu Lissu and the Gang" wa CHADEMA sasa hivi ataanza kulia lia sasa hivi kwamba vijana wanamvua nguo!Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, ameikaribisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika uchaguzi lakini ameipa angalizo kuwa isitatarajie kuambulia chochote katika nafasi ya urais.
Soma Pia: Wasira atupa vijembe kwa Chadema, adai wakienda ikulu watagawana hadi vikombe
Wasira ameyasema hayo jana Januari 30, 2025, alipokuwa akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na wananchi wa Bunda mjini.
Na waliomteua walijua wanachokitaka: mtu mzima hovyo, aliyekosa hekima na asiye na aibuSimlaumu mzee Wasira.. Nawalaumu waliomteua
Huwa mnafurahisha sana! Mtu akiwa tofauti na matamanio yenu, mnamuona punguani. JF anzeni kuwa objective! Lazima hapa duniani kuwe na Pande mbili. Tuliona juzi Mbowe na Lissu, simba na Yanga, mwanaume na mwanamke! Ccm na CDM ndiyo maisha na kila upande unashindana kwa hoja. Nguvu ya hoja si kutumia hoja za nguvu.Hiyu amelaanika, ndiyo maana ameamua kumalizia uzee wake kwa aibu.
Huyu Mzee ni zezetaMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, ameikaribisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika uchaguzi lakini ameipa angalizo kuwa isitatarajie kuambulia chochote katika nafasi ya urais.
Soma Pia: Wasira atupa vijembe kwa Chadema, adai wakienda ikulu watagawana hadi vikombe
Wasira ameyasema hayo jana Januari 30, 2025, alipokuwa akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na wananchi wa Bunda mjini.
Nothing lasts foreverBabu wassira kachafukwa,uchaguzi ndani ya cdm umedhihirisha ccm itatawala hadi tukome
Hapo unaona umekuwa objective mkuu?!Huwa mnafurahisha sana! Mtu akiwa tofauti na matamanio yenu, mnamuona punguani. JF anzeni kuwa objective! Lazima hapa duniani kuwe na Pande mbili. Tuliona juzi Mbowe na Lissu, simba na Yanga, mwanaume na mwanamke! Ccm na CDM ndiyo maisha na kila upande unashindana kwa hoja. Nguvu ya hoja si kutumia hoja za nguvu.
Kama huelewi uliza!Hapo unaona umekuwa objective mkuu?!
Kwa opposition ipi?within 21 years mbowe akuona mtu ambaye angeweza kuiongoza cdm imagine angekua rais mwenye mamlaka na vyombo vyote vya ulinzi ingekuaje!,siifagilii ccm ila uchaguzi wenu umenionyesha upinzani kuna watu wa aina ganiNothing lasts forever
Lissu alisema mbowe ni dhaifu. Lissu tumuone sasa kama urais hatauona ktk TV tuHuyu Mzee ni zezeta
Tena anaendelea kusema kwamba ccm imejipanga kushinda kwa kishindo, hii maana yake ni kwamba hawategemei kura za wananchi kushinda uchaguzi, kwa sababu huwezi kusema umejipanga kushinda ikiwa hujui ni wananchi wangapi watakupigia kura"...wapo rafiki zetu nao wanataka nchi hii wanataka tuwaachie ..." Ushahidi unaendelea kutolewa kuwa CCM ndio inaamua ushindi na sio wananchi. Kama ni wananchi si angesema: wapo rafiki zetu nao wanataka kupewa ridhaa ya kuongoza nchi na wananchi. Halafu, kutaka kuongoza dola ni lengo kuu la chama cha siasa.