Pre GE2025 Wasira: CHADEMA Urais mtauona kwenye Runinga pekee

Pre GE2025 Wasira: CHADEMA Urais mtauona kwenye Runinga pekee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa opposition ipi?within 21 years mbowe akuona mtu ambaye angeweza kuiongoza cdm imagine angekua rais mwenye mamlaka na vyombo vyote vya ulinzi ingekuaje!,siifagilii ccm ila uchaguzi wenu umenionyesha upinzani kuna watu wa aina gani
Wana uhakika kuwa Chadema inawanachama nchi nzima? Tumeshuhudia ktk chaguzi nyingi Chadema wakikosa wagombea ktk sehem nyingi na sehem zenye wagombea hakuna wakala sasa huo ushindi mtaupataje?
 
Tena anaendelea kusema kwamba ccm imejipanga kushinda kwa kishindo, hii maana yake ni kwamba hawategemei kura za wananchi kushinda uchaguzi, kwa sababu huwezi kusema umejipanga kushinda ikiwa hujui ni wananchi wangapi watakupigia kura
DEDs 99% ni UVCCM
 
Back
Top Bottom