Wasira: Hatuendi kwenye maridhiano kuridhiana na chama fulani. Tume ni ya Rais sio ya Samia

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesisitiza kuwa chama hicho kiko tayari kuingia kwenye mchakato wa maridhiano kwa lengo la "kuiponya nchi" na si kuridhiana na vyama fulani vya siasa pekee.

Akizungumza katika mahojiano maalum na BBC Aprili 24, 2026, Wasira amefafanua msimamo wa CCM kufuatia hatua ya vyama vikuu vya upinzani, CHADEMA na ACT-Wazalendo, kukataa ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 ambapo moja ya mapendekezo yake iliitaka serikali kusimamia mchakato wa Maridhiano

​
 
Chanzo cha kutokuridhiana ni nini na madhara yake nini. Na Nani ataongoza hayo Maridhiano.
 
Huyu mzee kwa kweli kama ni kuchoka amechoka sio siri yaani mimi sijawahi kuelewa anachokiongea cku zote.
 
Back
Top Bottom