Wasira: Jumuiya ya Madola haiwezi kutuamrisha, sisi ni Sovereign state

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Akizungumza Julai 20, 2026 kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa Tanzania ni taifa huru linalojiendesha kwa mujibu wa sheria na halitakubali kuamrishwa au kuingiliwa mhimili wake wa mahakama na taasisi za kimataifa kama vile Jumuiya ya Madola.

"Hatujakataa kuridhiana, lakini Jumuiya ya Madola haiwezi kutwamrisha kuingilia mahakama. Hata Jumuiya ya Madola hii imeundwa kwa mujibu wa sheria. Sisi ni wanachama, ile ni klabu na sisi ni members.

Kuna mambo wanaweza kutushauri na sisi hatukatai kushauriwa, lakini haiwezi kutwamrisha. Kwani ikitwamrisha inakuwa inaingilia sana uhuru wetu. Sisi ni sovereign state bwana, huwezi kusema tu Jumuiya ya Madola imetamka mbona sisi hatujaiamrisha?"

Sovereign state kwa vile wewe una mahali pa kuiba, kukwapua, lkn sidi tunaotegemea vyoo vijengwe watotto wetu wanye shuleni......
 
Washenzi sana hawa watu.

Wanasemaga kila siku tuwaulize Libya .... Na wao wawaulize Zimbabwe na kiburi chao cha Sovereign State waliishia wapi...!! Halafu Zimbabwe walikuwa wako vizuri kuliko sisi.
 
Sovereign sio kwenye kuondoa uhai wa binadamu ukifanya hivyo unashukiwa na amri unapewa vizuri uhai wa mtu ni haki isiyoweza kuondolewa pasipo watu kuwajibishwa
 
Washenzi sana hawa watu.

Wanasemaga kila siku tuwaulize Libya .... Na wao wawaulize Zimbabwe na kiburi chao cha Sovereign State waliishia wapi...!! Halafu Zimbabwe walikuwa wako vizuri kuliko sisi.
A very good observation!
 
Akizungumza Julai 20, 2026 kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa Tanzania ni taifa huru linalojiendesha kwa mujibu wa sheria na halitakubali kuamrishwa au kuingiliwa mhimili wake wa mahakama na taasisi za kimataifa kama vile Jumuiya ya Madola.

"Hatujakataa kuridhiana, lakini Jumuiya ya Madola haiwezi kutwamrisha kuingilia mahakama. Hata Jumuiya ya Madola hii imeundwa kwa mujibu wa sheria. Sisi ni wanachama, ile ni klabu na sisi ni members.

Kuna mambo wanaweza kutushauri na sisi hatukatai kushauriwa, lakini haiwezi kutwamrisha. Kwani ikitwamrisha inakuwa inaingilia sana uhuru wetu. Sisi ni sovereign state bwana, huwezi kusema tu Jumuiya ya Madola imetamka mbona sisi hatujaiamrisha?"

Tanzania kama Iran hatuwezi pangiwa na watu ambao hawatulishi
 
Wameizinisha kuwa ni maditekta misimamo yao
 
Kuna kijana fulani alihoji kuna nyara imetoweka kule national park, ilichukua muda kumuelewa, sasa natambua.
 
Akizungumza Julai 20, 2026 kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa Tanzania ni taifa huru linalojiendesha kwa mujibu wa sheria na halitakubali kuamrishwa au kuingiliwa mhimili wake wa mahakama na taasisi za kimataifa kama vile Jumuiya ya Madola.

"Hatujakataa kuridhiana, lakini Jumuiya ya Madola haiwezi kutwamrisha kuingilia mahakama. Hata Jumuiya ya Madola hii imeundwa kwa mujibu wa sheria. Sisi ni wanachama, ile ni klabu na sisi ni members.

Kuna mambo wanaweza kutushauri na sisi hatukatai kushauriwa, lakini haiwezi kutwamrisha. Kwani ikitwamrisha inakuwa inaingilia sana uhuru wetu. Sisi ni sovereign state bwana, huwezi kusema tu Jumuiya ya Madola imetamka mbona sisi hatujaiamrisha?"

Hata wapumbavu huzeeka!
 
Back
Top Bottom