Sovereign state kwa vile wewe una mahali pa kuiba, kukwapua, lkn sidi tunaotegemea vyoo vijengwe watotto wetu wanye shuleni......Akizungumza Julai 20, 2026 kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa Tanzania ni taifa huru linalojiendesha kwa mujibu wa sheria na halitakubali kuamrishwa au kuingiliwa mhimili wake wa mahakama na taasisi za kimataifa kama vile Jumuiya ya Madola.
"Hatujakataa kuridhiana, lakini Jumuiya ya Madola haiwezi kutwamrisha kuingilia mahakama. Hata Jumuiya ya Madola hii imeundwa kwa mujibu wa sheria. Sisi ni wanachama, ile ni klabu na sisi ni members.
Kuna mambo wanaweza kutushauri na sisi hatukatai kushauriwa, lakini haiwezi kutwamrisha. Kwani ikitwamrisha inakuwa inaingilia sana uhuru wetu. Sisi ni sovereign state bwana, huwezi kusema tu Jumuiya ya Madola imetamka mbona sisi hatujaiamrisha?"
Sovereign state kwa vile wewe una mahali pa kuiba, kukwapua, lkn sidi tunaotegemea vyoo vijengwe watotto wetu wanye shuleni......
A very good observation!Washenzi sana hawa watu.
Wanasemaga kila siku tuwaulize Libya .... Na wao wawaulize Zimbabwe na kiburi chao cha Sovereign State waliishia wapi...!! Halafu Zimbabwe walikuwa wako vizuri kuliko sisi.
Hiki kidubwana kinazidi kuiponza nchi.Wanaongea hivyo mbele za media ili kuwapumbaza wananchi lkn baada ya kutoka hapo wanenda kuwapigia magoti hao wafadhiri wao
mzee Kaitampunu kitambo sanaHiki kidubwana kinazidi kuiponza nchi.
Tanzania kama Iran hatuwezi pangiwa na watu ambao hawatulishiAkizungumza Julai 20, 2026 kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa Tanzania ni taifa huru linalojiendesha kwa mujibu wa sheria na halitakubali kuamrishwa au kuingiliwa mhimili wake wa mahakama na taasisi za kimataifa kama vile Jumuiya ya Madola.
"Hatujakataa kuridhiana, lakini Jumuiya ya Madola haiwezi kutwamrisha kuingilia mahakama. Hata Jumuiya ya Madola hii imeundwa kwa mujibu wa sheria. Sisi ni wanachama, ile ni klabu na sisi ni members.
Kuna mambo wanaweza kutushauri na sisi hatukatai kushauriwa, lakini haiwezi kutwamrisha. Kwani ikitwamrisha inakuwa inaingilia sana uhuru wetu. Sisi ni sovereign state bwana, huwezi kusema tu Jumuiya ya Madola imetamka mbona sisi hatujaiamrisha?"
Kataa WahuniSisi ni sovereign state bwana, huwezi kusema tu Jumuiya ya Madola imetamka mbona sisi hatujaiamrisha?"
Hata wapumbavu huzeeka!Akizungumza Julai 20, 2026 kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa Tanzania ni taifa huru linalojiendesha kwa mujibu wa sheria na halitakubali kuamrishwa au kuingiliwa mhimili wake wa mahakama na taasisi za kimataifa kama vile Jumuiya ya Madola.