Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewataka wananchi mkoani Kagera kutumia rasilimali zilizopo mkoani humo, ikiwemo mifugo ya ng'ombe ili kujiinua kiuchumi.
Amebainisha hayo wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Kemondo Center ndani ya Tarafa ya Katerero Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Kama familia zinaweza kufanya ufugaji wa ng, ombe kila kaya hata ng'ombe wawili hizo familia zikawa na uhakika wa kupata maziwa na kikawepo kiwanda cha maziwa familia zinaweza kupata pesa na kujiokoa na umasikini," amesema Wasira.