Wasira: Katiba Mpya isiwe sababu ya kuanzisha nchi mpya!

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, amesema mjadala wa Katiba Mpya haupaswi kufikia hatua ya kuunda nchi mpya, akisisitiza umuhimu wa Katiba kuendeleza historia ya Taifa. Wasira amesema hata wakati wa mchakato wa Katiba mwaka 2014, alikataa wazo la kubadilisha bendera na nembo kwa hoja kwamba walikuwa wamepewa jukumu la kuandika Katiba, si kuunda nchi mpya.

Wasira amesema anaamini tofauti zilizopo kuhusu kukamilisha mchakato wa kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) zinaweza kutatuliwa, akimtaka Othman Masoud kutoa matumaini kuhusu kuundwa kwa GNU. Amesema GNU ni muhimu kwa ajili ya kupata utulivu, ambao ni msingi wa maendeleo ya nchi yoyote.

Historia gani ya Taifa wakati hakuna HAKI?
Uchumi mbovu, wajinga ndiyo wanatawala kwa nguvu ya polisi na Jeshi na kuua watu wanavyotaka wenyewe kama October 29, Hiyo historia nani anahitaji?
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, amesema mjadala wa Katiba Mpya haupaswi kufikia hatua ya kuunda nchi mpya, akisisitiza umuhimu wa Katiba kuendeleza historia ya Taifa. Wasira amesema hata wakati wa mchakato wa Katiba mwaka 2014, alikataa wazo la kubadilisha bendera na nembo kwa hoja kwamba walikuwa wamepewa jukumu la kuandika Katiba, si kuunda nchi mpya.

Wasira amesema anaamini tofauti zilizopo kuhusu kukamilisha mchakato wa kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) zinaweza kutatuliwa, akimtaka Othman Masoud kutoa matumaini kuhusu kuundwa kwa GNU. Amesema GNU ni muhimu kwa ajili ya kupata utulivu, ambao ni msingi wa maendeleo ya nchi yoyote.

Screenshot_20260816-150515~2.png
 
MZEE MPUMBAVU
 
Attachments

  • HQ6F8GUWoAAIZsS.jpg
    HQ6F8GUWoAAIZsS.jpg
    118.3 KB · Views: 11
  • HQ98ZsZXwAA6lc6.jpg
    HQ98ZsZXwAA6lc6.jpg
    106 KB · Views: 8
Back
Top Bottom