Najiuliza... hivi hakukua na mtu wa kumwambia? Au waliomuona walifurahi ili wamcheke?
Binadamu sie
Wasira akiambiwa amezeeka atakataa? ndo shida ya wabongo kung'ang'ania madraka hata kama wamechoka akili na mwili.Nimeshangaa kuona mtu wa Heshima Rais Mtarajiwa yupo katika Muonekano huu!
hii ni editin