Wasira kuvaaa hivi alikusudia au?

Wasira kuvaaa hivi alikusudia au?

Jaman madaraka sio mchezo hapo kakosea maana kichwa kilikua kinapambanua mikakati yake mingi
 
wth..!! Mwaka huu wataokota makopo,, na bado.
 
[chaQUOTE=Kiwa;11874369]Dressed by Sheria ngowi[/QUOTE]
Acha upumbavu ww mzee kapitiwa tu mbona siku ZOTE AKIWA smart hamsemi
 
Kama hawezi kufunga vifungo vya koti lake, atauweza Urais huyu!? Tumechoshwa na dhaifu, wezi na wahuni ndani ya Ikulu. Wassira tupa kulee!
 
...


attachment.php
 
Nimeshangaa kuona mtu wa Heshima Rais Mtarajiwa yupo katika Muonekano huu!
Wasira akiambiwa amezeeka atakataa? ndo shida ya wabongo kung'ang'ania madraka hata kama wamechoka akili na mwili.
 
Hajawahi kupata stroke? Maana shoulder moja ipo juu sana.
 
Kama sijakosea kitu kama hii alishawahi kufanya hayati Horace Kolimba miaka ile,moja ya vitu vilivyofanya mwalimu (RIP) amuite 'mhuni'.Wenye kumbukumbu nzuri zaidi watajazia 'nyama'.
 
Alafu eti ndio ajekuwa rais wetu!!!!!!. Huyu nadhani hata wenzake hawampendi wange mwambia avae vizuri.
 
bahati mbaya tu, simpendi wasira lakini hili siwezi kushabikia. ni sawa na kumwona mugabe anaanguka halafu unacheka, tuwaheshimu wazee.
 
hapo kafikiria namna gani team lowasa inavyowakimbiza, anachanganyikiwa hata kutengeneza muonekano wa mavazi.
 
Back
Top Bottom