Wasira kuvaaa hivi alikusudia au?

Wasira kuvaaa hivi alikusudia au?

Mwanyoro

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
635
Reaction score
457
Nimeshangaa kuona mtu wa Heshima Rais Mtarajiwa yupo katika Muonekano huu!
 

Attachments

  • 1423500413334.jpg
    1423500413334.jpg
    64.8 KB · Views: 3,742
  • 1423500574765.jpg
    1423500574765.jpg
    52.7 KB · Views: 3,939
hahaha akiwa presidaa hiyo kazi ya kuhakikisha koti limekaa sawa itafanywa na wapambe.

labda alikurupushwa kutoka nje kupiga picha.
 
Tupia picha za yule rais mpya anayevalishwa na mbongo ha ha
 
Huyu nae anataka urais kweli kwa style hii c anaweza sahau akachomekea suti kwenye suruali
 
mtu mzima unapoanza kumjaji mwenzio kwa kuangalia mavazi ni wazi kuwa ubongo wako unahitaji kuangaliwa
 
Hapo kuna tatazo kibwa, kuna kitu kinamsumbua kichwani ambacho kimempotezea uwezo wake halisi wa kufikiri. Na kibaya zaidi ni kwamba hiyo frustration imemzidi uwezo na ameshindwa kuidhibiti. Chance kubwa ni kuhusu jimbo lake la bunda, anajua hawezi tena kurudi mjengoni. Ni shiiiiiidah
 
Najiuliza... hivi hakukua na mtu wa kumwambia? Au waliomuona walifurahi ili wamcheke?
Binadamu sie
 
Back
Top Bottom