Wasira kuvaaa hivi alikusudia au?

Wasira kuvaaa hivi alikusudia au?

Haaaaahaaaaah!!Kakurupushwa usingizin akapige picha na waheshimiwa wenzake
 
Jiyo ni style ya koti angalia mofuko yake na colar vipo size moja
 
[chaQUOTE=Kiwa;11874369]Dressed by Sheria ngowi
Acha upumbavu ww mzee kapitiwa tu mbona siku ZOTE AKIWA smart hamsemi
acha jazba. Kuna mistake zingine unafanya mara moja unapigwa goli 1000 kwa miaka 100. Huu ni uzeme na kukosa umakini. Kama anajijua yeye ni presidential material kwa nini hayuko makini hata kwa mambo yake binafsi?
Hawa ndio wale tunawachagua waende kwenye diplomatic forums abaenda hajachana nywele na wewe unamtetea.
 
Uchizi ndo unaanzia huku halafu ana ndoto za kuja kuwa raisi labda raisi wa manzese
 
[chaQUOTE=Kiwa;11874369]Dressed by Sheria ngowiTE]
Acha upumbavu ww mzee kapitiwa tu mbona siku ZOTE AKIWA smart hamsemi

Mbona umepaniki sana au wewe ndo ulimvyalisha unaogopa kwenda kufukuzwa.
 
Vijana wataanza kuiga kama vile ni mtindo mpya wa kuvaa suti.
 
Inasikitisha sana kuona Taifa langu lunaongozwa na watu wenye haiba hii.!
 
Na hapo kumbuka yupo uwanja wa taifa kwenye sherehe ya Wasabato, nadhani uwezo wake wa kujitambua umepungua kwa kiwango kikubwa hata kusahau kuvaa nadhifu.
 
Sio mbaya sana, kuna nyakati fulani huko kenya, Kibaki alivukwa na suruali. Tena akiwa anahutubia Taifa.
 
Back
Top Bottom