GE2025 Wasira: Kwa miaka minne Samia ameonesha uwezo mkubwa na ujasiri wa kuongoza Nchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
706
Reaction score
1,716
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kazi kubwa aliyoifanya Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kipindi cha miaka minne na nusu aliyoiongoza nchi, ndiyo inayowafanya Watanzania wampe miaka mingine mitano ya kuongoza.
e985af68-11ad-423b-a604-a9afb3489040.jpeg

Amesema kukamilika kwa miradi mikubwa ikiwemo Reli ya Kiwango cha Kimataifa (SGR), Bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere na Daraja la John Pombe Magufuli (Kigongo-Busisi) ni ushahidi wa uimara na uwezo mkubwa wa Mhe. Samia Suluhu katika kusimamia maendeleo ya nchi.

Wasira ameyasema hayo leo Oktoba 19, 2025 alipokuwa akizungumza na viongozi wa CCM wilayani Kishapu Mkoa wa Shinyanga, akiwa katika mwendelezo wa mikutano ya kutafuta ushindi wa kishindo kwa mgombea urais wa CCM, Dk. Samia, pamoja na wagombea waliosimamishwa na Chama kuwania ubunge na udiwani.

Amesema Rais Samia Suluhu Hassan alipokea kijiti (ungozi) nchi ikiwa kwenye ujenzi wa miradi mikubwa, Mathalan mradi wa kujenga reli ya Kisasa ya SGR, Mmadi ambao Ndg. Wasira alisisitiza kuwa haukusimamiwa na wazungu, bali na wazawa wakiongozwa na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa.

"Mradi huu haukuwa umefika Morogoro, lakini Kadogosa ametoka ameacha mradi umefika Makutupora kilometa 722 kutoka Dar es Salaam lakini Kadogosa ameondoka ameacha na wakandarasi wanaendelea na kazi hii kutoka Mwanza kwenda Isaka na baadae kufika hadi Kigoma, hata nyie mkienda Mwanza mtaona kazi hii na ipo inayotoka Isaka kwenda Tabora na kutoka Makutupora kwenda Tabora na inatoka Tabora kwenda Kigoma reli pia inatoka Kigoma kwenda Burundi ili watu wa DRC walete madini Dar es Salaam kupitia reli.

"Tunaposema mitano tena, ni mitano ya kazi zaidi," aliongeza Ndg. Wasira.

Aidha, amesema Dk. Samia amefanya kazi kubwa yenye kutukuka kusimamia ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere hadi kukamilika kwake na kuiwezesha nchi kuwa na umeme wa kutosha.
 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kazi kubwa aliyoifanya Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kipindi cha miaka minne na nusu aliyoiongoza nchi, ndiyo inayowafanya Watanzania wampe miaka mingine mitano ya kuongoza.

"Tunaposema mitano tena, ni mitano ya kazi zaidi," aliongeza Ndg. Wasira.
Naunga mkono hoja,
P
 
View attachment 3490782

Huyu Mzee ukishampa uhakika wa kula basi umemmaliza

Hata wakoloni walileta maendeleo mengi sana lakini walifukuzwa
 
Ni aibu sana Kwa mtu kama wewe kutokujua mahitaji ya msingi ya Taifa Kwa sasa
Wasira pengine umri nao unachangia
Naomba tuu kuheshimu mawazo yako, yaani mimi Pascal Mayalla kwa nyuzi zaidi ya 100 nilizopandisha humu kuhusu mahitaji ya msingi ya taifa, leo ni mtu wa kuambiwa sijui mahitaji ya taifa!. Wengi humu ni keyboard warriors, akina sisi tumepigana mpaka front Thread 'Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?' Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

Angalia niliwahi kusema nini

View: https://youtu.be/PBpjDhH2XiA?si=8EEhNkNVlONuph1b

Kabla ya muswada kusomwa kwa mara ya kwanza, tukaitwa kutoa maoni, tukasema
View: https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=ky_DyqMycv_SBH7I

Na baada ya muswada kusomwa kwa mara ya kwanza, tukaitwa kutoa maoni Bungeni Dodoma, tukasema
View: https://youtu.be/lBC3xKODSvY?si=fbeeEcbqtBYjuyrJ

Sheria ilipokuja kutoka, ina ubatili ule ule tulioupigia kelele!mtu unajiuliza Bunge chini ya mwalimu wangu nguli mbobezi na mbobevu wa
sheria, wa kitivo cha sheria, chuo kikuu cha DSM, UDSM, linatungaje sheria batili kinyume na katiba?!. Halafu bila aibu, anapelekewa rais wa JMT kusaini sheria batili!.

Kwenye hili la ubatili wa katiba na ubatili wa sheria, nimesisitiza mtu asiye
mwanasheria hawezi kuujua
ubatili wa katiba au ubatili wa sheria, bila kuelezwa na wanasheria!, hivyo inawezekana mpaka ninapoandika hapa, mwenyewe wala hajui tuna katiba batilifu, wala hajui ametungiwa sheria batili, na yeye kuisaini bila kujua ni batili!.

Hivyo kumlaumu mtu kama huyu ni kumuonea bure tuu,kumbe masikini wa watu yeye wala hajui?!sasa mtu kama huyu kuja kuambiwa hajui mahitaji ya msingi ya taifa!.
P
 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kazi kubwa aliyoifanya Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kipindi cha miaka minne na nusu aliyoiongoza nchi, ndiyo inayowafanya Watanzania wampe miaka mingine mitano ya kuongoza.
View attachment 3490782
Amesema kukamilika kwa miradi mikubwa ikiwemo Reli ya Kiwango cha Kimataifa (SGR), Bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere na Daraja la John Pombe Magufuli (Kigongo-Busisi) ni ushahidi wa uimara na uwezo mkubwa wa Mhe. Samia Suluhu katika kusimamia maendeleo ya nchi.

Wasira ameyasema hayo leo Oktoba 19, 2025 alipokuwa akizungumza na viongozi wa CCM wilayani Kishapu Mkoa wa Shinyanga, akiwa katika mwendelezo wa mikutano ya kutafuta ushindi wa kishindo kwa mgombea urais wa CCM, Dk. Samia, pamoja na wagombea waliosimamishwa na Chama kuwania ubunge na udiwani.

Amesema Rais Samia Suluhu Hassan alipokea kijiti (ungozi) nchi ikiwa kwenye ujenzi wa miradi mikubwa, Mathalan mradi wa kujenga reli ya Kisasa ya SGR, Mmadi ambao Ndg. Wasira alisisitiza kuwa haukusimamiwa na wazungu, bali na wazawa wakiongozwa na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa.

"Mradi huu haukuwa umefika Morogoro, lakini Kadogosa ametoka ameacha mradi umefika Makutupora kilometa 722 kutoka Dar es Salaam lakini Kadogosa ameondoka ameacha na wakandarasi wanaendelea na kazi hii kutoka Mwanza kwenda Isaka na baadae kufika hadi Kigoma, hata nyie mkienda Mwanza mtaona kazi hii na ipo inayotoka Isaka kwenda Tabora na kutoka Makutupora kwenda Tabora na inatoka Tabora kwenda Kigoma reli pia inatoka Kigoma kwenda Burundi ili watu wa DRC walete madini Dar es Salaam kupitia reli.

"Tunaposema mitano tena, ni mitano ya kazi zaidi," aliongeza Ndg. Wasira.

Aidha, amesema Dk. Samia amefanya kazi kubwa yenye kutukuka kusimamia ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere hadi kukamilika kwake na kuiwezesha nchi kuwa na umeme wa kutosha.
Takataka kama hili zee la kutoka hifadhi ya Gombe ni hasara kwa nchi
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kazi kubwa aliyoifanya Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kipindi cha miaka minne na nusu aliyoiongoza nchi, ndiyo inayowafanya Watanzania wampe miaka mingine mitano ya kuongoza.
View attachment 3490782
Amesema kukamilika kwa miradi mikubwa ikiwemo Reli ya Kiwango cha Kimataifa (SGR), Bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere na Daraja la John Pombe Magufuli (Kigongo-Busisi) ni ushahidi wa uimara na uwezo mkubwa wa Mhe. Samia Suluhu katika kusimamia maendeleo ya nchi.

Wasira ameyasema hayo leo Oktoba 19, 2025 alipokuwa akizungumza na viongozi wa CCM wilayani Kishapu Mkoa wa Shinyanga, akiwa katika mwendelezo wa mikutano ya kutafuta ushindi wa kishindo kwa mgombea urais wa CCM, Dk. Samia, pamoja na wagombea waliosimamishwa na Chama kuwania ubunge na udiwani.

Amesema Rais Samia Suluhu Hassan alipokea kijiti (ungozi) nchi ikiwa kwenye ujenzi wa miradi mikubwa, Mathalan mradi wa kujenga reli ya Kisasa ya SGR, Mmadi ambao Ndg. Wasira alisisitiza kuwa haukusimamiwa na wazungu, bali na wazawa wakiongozwa na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa.

"Mradi huu haukuwa umefika Morogoro, lakini Kadogosa ametoka ameacha mradi umefika Makutupora kilometa 722 kutoka Dar es Salaam lakini Kadogosa ameondoka ameacha na wakandarasi wanaendelea na kazi hii kutoka Mwanza kwenda Isaka na baadae kufika hadi Kigoma, hata nyie mkienda Mwanza mtaona kazi hii na ipo inayotoka Isaka kwenda Tabora na kutoka Makutupora kwenda Tabora na inatoka Tabora kwenda Kigoma reli pia inatoka Kigoma kwenda Burundi ili watu wa DRC walete madini Dar es Salaam kupitia reli.

"Tunaposema mitano tena, ni mitano ya kazi zaidi," aliongeza Ndg. Wasira.

Aidha, amesema Dk. Samia amefanya kazi kubwa yenye kutukuka kusimamia ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere hadi kukamilika kwake na kuiwezesha nchi kuwa na umeme wa kutosha.
Uyu mzee uyu
 
Mzee Wasira asemehwe. Amezeeka vibaya na anatumiwa. Hii hana wa karibu wa kumshauri?
 
Back
Top Bottom