Pre GE2025 Wasira: Lissu alimuita John Magufuli Rais wa ajabu, anaujua uajabu wake!

Pre GE2025 Wasira: Lissu alimuita John Magufuli Rais wa ajabu, anaujua uajabu wake!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Mzee Stephen Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara akiwa Clouds FM leo Februari 13, amesema;

"Tume ya uchaguzi ya Mwaka 2015 iliyowapa wabunge wengi wapinzani ni tume hiyo hiyo ya Mwaka 2020 na wao wanasema mwaka 2020 uchaguzi ulikuwa mbaya na wao walikuwa wakigombana na Rais John Magufuli."

"Na Tundu Lissu alikuwa akisema haijapata kutokea kuwa na Rais wa ajabu kama Magufuli kama unamuita Rais wa ajabu. Na kama unamuita wa ajabu yeye atakuwa anaujua uajabu wake Mimi siufahamu. Kwahiyo matokea hayo yaliyotokea."

"Wapinzani na JPM walishughuliana.Ukimtukana Rais na rais ana reacts. Rais naye ni mtu. Ukimtukana na yeye anakutukana"

1739435074828.png
 
Na hii ndio sababu watanzania wanamuona Lissu kama mwendawazimu. Huwezi kumtukana makufuli alafu mtanzania mzalendo akupende.
 
Huyu mzee ajifunze kutoka kwa Dkt. Phillip Isdor Mpango. Atakuja kujikuta amepitishwa kituo cha kushukia.
 
Back
Top Bottom