Pre GE2025 Wasira: Mabadiliko yalishafanywa na sheria za uchaguzi zilipatikana, kulazimisha viwepo wanavyotaka wao ni Udikteta wa Kidemokrasia

Pre GE2025 Wasira: Mabadiliko yalishafanywa na sheria za uchaguzi zilipatikana, kulazimisha viwepo wanavyotaka wao ni Udikteta wa Kidemokrasia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM wanatuona wananchi wa hii nchi ni mazuzu sana yaaani kama hatuna akili ya kuchambua mambo.

Kwa ule upuuzi uliofanyika juzi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa hakupaswa hata kuzungumza hayo maneno huyo mzee mjinga Wassira
Yeye mwenyewe anaujua ukweli ni ushetani tu unamsumbua
 
Wakuu,

Mambo yanazidi kuchanganya, ni vuta n' kuvute.

Wasira anasema sheria za uchaguzi ni matokeo ya maridhiano, ambapo wananchi wote wakiwemo CHADEMA walishirikishwa kutoa maoni kabla ya miswada kupelekwa bungeni na baadaye kupitishwa baada ya kupitiwa kuwa sheria.

Wasira anaongeza CHADEMA kushupaza shingo wakati mabadiliko yameshafanyika sio demokrasia ni udikteta, maana wanagomea jambo ambalo watanzania wote walishiriki kutoa maoni na likapitishwa.
Kichwani ubongo umezeeka hadi umeoza
 
Back
Top Bottom