Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
Akizungumza Januari 23, 2025, jijini Dodoma, Wasira ameeleza kuwa badala ya kushikilia kauli hiyo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanapaswa kushiriki uchaguzi na kuhakikisha wanakubaliana na maridhiano yaliyopo.
Ameongeza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, unaotarajiwa kuchagua Rais, Wabunge, na Madiwani, unapaswa kuwa nafasi ya vyama vyote kushindana kwa hoja badala ya kutafuta visingizio. Wasira amewataka viongozi wa CHADEMA kutumia nafasi za mazungumzo zilizopo badala ya kusimamia misimamo isiyotekelezeka kwa wakati huu.
Anasema bunge linavunjwa June hakuna wa kufanya reform, kwamba bunge tu linafanya reform.
Hebu walio karibu wamkumbushe huyu mzee wetu kwamba kama kuna "Urgent Matter" inayohusu mustakabali wa taifa basi bunge linaitwa muda wowote kwenda kupitisha muswada.
Yaani huyu wasipomweka sawa ataiangusha CCM.Bado ajajua siasa za sasa zipo digital yaani ana deal na vijana wa GenZ ambao wakiungana na GenX ni 50% ya wapiga kura na watu also active kwenye siasa ikiwemo mitandao.Asichokijua siasa za majukwaani zinaanza kuisha kabisa .Asipokaa sawa atajikuta anashangiliwa na TBC like huku vijana wako busy kidigital.Yaani Raisi Samia ,ukishamaliza uchqguzi tafuta mtu ana vibe la vijana hii itakuangusha aisee

Hehe mnataka siasa za kisasa......watu wanaenda old school kwanza angalia tu code ya hilo vazi ndo mjue uelekeo wa October uko vipi,,,,mapambano yalikua ndani ya Ccm huku nje sijui upinzani kukamilisha katiba tu ...hata wakisema no election ndo itasaidia kabisa maana iwe Samia kapata 100% na maisha yanaendelea
Wenzake nikama hawamuelewi vile...Mzee anajichanganya sana.Nidhahiri Ccm kwa kauli za huyu Mzee wa hifadhi za Gombe Msabato Mwenzangu hawana nia ya katiba mpya
Hehe mnataka siasa za kisasa......watu wanaenda old school kwanza angalia tu code ya hilo vazi ndo mjue uelekeo wa October uko vipi,,,,mapambano yalikua ndani ya Ccm huku nje sijui upinzani kukamilisha katiba tu ...hata wakisema no election ndo itasaidia kabisa maana iwe Samia kapata 100% na maisha yanaendelea
Wapimzani sidhani this time watafika mbali sana maana Lissu anatakiwa ajipange kwani bado sana ingawa hata wana CCM wanataka mabadiliko but after election duu mambo yatabadilika sana Mama akae karibu na vidonge vya pressure kwani Wasira type will be outdated
Yaani huyu wasipomweka sawa ataiangusha CCM.Bado ajajua siasa za sasa zipo digital yaani ana deal na vijana wa GenZ ambao wakiungana na GenX ni 50% ya wapiga kura na watu also active kwenye siasa ikiwemo mitandao.Asichokijua siasa za majukwaani zinaanza kuisha kabisa .Asipokaa sawa atajikuta anashangiliwa na TBC like huku vijana wako busy kidigital.Yaani Raisi Samia ,ukishamaliza uchqguzi tafuta mtu ana vibe la vijana hii itakuangusha aisee
Hapo wa kuwategemea ni Gen Mwinyi na siyo Gen Z. Gen Z wa Tanzania wamedumazwa kifikra. Wao wanawaza mziki. Gen Z si ndio hao walikuwa wanasombwa na walimu wao kwenda kupiga kura
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
Akizungumza Januari 23, 2025, jijini Dodoma, Wasira ameeleza kuwa badala ya kushikilia kauli hiyo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanapaswa kushiriki uchaguzi na kuhakikisha wanakubaliana na maridhiano yaliyopo.
Ameongeza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, unaotarajiwa kuchagua Rais, Wabunge, na Madiwani, unapaswa kuwa nafasi ya vyama vyote kushindana kwa hoja badala ya kutafuta visingizio. Wasira amewataka viongozi wa CHADEMA kutumia nafasi za mazungumzo zilizopo badala ya kusimamia misimamo isiyotekelezeka kwa wakati huu.
Yaani huyu wasipomweka sawa ataiangusha CCM.Bado ajajua siasa za sasa zipo digital yaani ana deal na vijana wa GenZ ambao wakiungana na GenX ni 50% ya wapiga kura na watu also active kwenye siasa ikiwemo mitandao.Asichokijua siasa za majukwaani zinaanza kuisha kabisa .Asipokaa sawa atajikuta anashangiliwa na TBC like huku vijana wako busy kidigital.Yaani Raisi Samia ,ukishamaliza uchqguzi tafuta mtu ana vibe la vijana hii itakuangusha aisee
Gen Z bongo😀😀 hapo kwa wakenya labda....hii gen Z ya bongo ikitokea trending tu ya mondi huko insta na youtube baadae wakaingia simba na yanga kazi kwisha ushawatoa nje ya reli ......wengi hawana focus wanarubunika kirahisi sana
Hakuna kikakao chochote cha bunge mwaka huu kabla ya uchaguzi?
Haiwezekani kuitisha kikao cha bunge nje ya vikao vya kawaida vilivyozoeleka au kupangwa?
Gen Z bongo😀😀 hapo kwa wakenya labda....hii gen Z ya bongo ikitokea trending tu ya mondi huko insta na youtube baadae wakaingia simba na yanga kazi kwisha ushawatoa nje ya reli ......wengi hawana focus wanarubunika kirahisi sana
Gen Z ya bongo watafunguka baada ya uchaguzi kwani wazee kwenye uchaguzi wa mwaka huu watawapiga chini kwa sababu watakuwa na hoja but hawana cha kuuonga/rushwa ya kushinda "wajumbe" so they will be left out hapo ndio kimbembe kitaanza