Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
Soma, Pia: Lissu amjibu Wasira kuhusu Katiba Mpya, asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katibu Mpya, na tutazuia uchaguzi kwa maandamano
Akizungumza Januari 23, 2025, jijini Dodoma, Wasira ameeleza kuwa badala ya kushikilia kauli hiyo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanapaswa kushiriki uchaguzi na kuhakikisha wanakubaliana na maridhiano yaliyopo.
Ameongeza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, unaotarajiwa kuchagua Rais, Wabunge, na Madiwani, unapaswa kuwa nafasi ya vyama vyote kushindana kwa hoja badala ya kutafuta visingizio. Wasira amewataka viongozi wa CHADEMA kutumia nafasi za mazungumzo zilizopo badala ya kusimamia misimamo isiyotekelezeka kwa wakati huu.
Hata kama bado mwezi, muda unatosha kubadilisha.Kaka yake Biden anawezaje kuwa na akili zote?
Duh... tunawatakia mapambano mema huko majukwaani.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
Soma, Pia: Lissu amjibu Wasira kuhusu Katiba Mpya, asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katibu Mpya, na tutazuia uchaguzi kwa maandamano
Akizungumza Januari 23, 2025, jijini Dodoma, Wasira ameeleza kuwa badala ya kushikilia kauli hiyo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanapaswa kushiriki uchaguzi na kuhakikisha wanakubaliana na maridhiano yaliyopo.
Ameongeza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, unaotarajiwa kuchagua Rais, Wabunge, na Madiwani, unapaswa kuwa nafasi ya vyama vyote kushindana kwa hoja badala ya kutafuta visingizio. Wasira amewataka viongozi wa CHADEMA kutumia nafasi za mazungumzo zilizopo badala ya kusimamia misimamo isiyotekelezeka kwa wakati huu.
Kaka yake Biden anawezaje kuwa na akili zote?
Stori zile zile za KinanaMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
Soma, Pia: Lissu amjibu Wasira kuhusu Katiba Mpya, asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katibu Mpya, na tutazuia uchaguzi kwa maandamano
Akizungumza Januari 23, 2025, jijini Dodoma, Wasira ameeleza kuwa badala ya kushikilia kauli hiyo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanapaswa kushiriki uchaguzi na kuhakikisha wanakubaliana na maridhiano yaliyopo.
Ameongeza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, unaotarajiwa kuchagua Rais, Wabunge, na Madiwani, unapaswa kuwa nafasi ya vyama vyote kushindana kwa hoja badala ya kutafuta visingizio. Wasira amewataka viongozi wa CHADEMA kutumia nafasi za mazungumzo zilizopo badala ya kusimamia misimamo isiyotekelezeka kwa wakati huu.
Honestly mzee angepumzika...Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.