Pre GE2025 Wasira mbona hana utulivu wa akili? Ni kama amedata hivi na kauli ya "No Reform, No Election".

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Miaka 80 si haba....inaaminika ni kijana zaidi kuliko miaka 68 huku kwenye chama chetu
 
Wamempa majukumu mazito ya kupambana na kijana Heche wakati yeye umri umemtupa, hatamudu mikikimikiki ataomba kustaafu kabla ya miaka mitatu.
 
Duh... tunawatakia mapambano mema huko majukwaani.
 
Stori zile zile za Kinana
 
Honestly mzee angepumzika...

Kipindi nipo secondary nakumbuka niliwahi kusoma sehemu kwamba kuna umri ukifika (nadhani kuanzia 85) mtu unaanza ku'suffer natural disease inayoitwa "mental retardation"... yaani akili inarudi nyuma ikiwemo kua kama mtoto mdogo na kupoteza kumbukumbu.

Kwa umri wa huyu mzee nadhani bado, ila anaelekea huko, so wamuwahi, kuna siku ataongea jambo ambalo hamtaamini hakika..
 
Dunia ya kisasa inataka watu wenye mawazo mapya waendeshe serikali kupitia wataalamu sio kuokota okota watu mitaani walio jichokea kizazi cha 1800
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…