PreGE2025 Wasira: Mbowe hajaaga dunia bali "yupo anauguza vidonda vilivyotokana na matusi wanaCHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amepotea kutokana na matusi ya wanachama wa chama chake.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara Kata ya Kemondo, Wilaya ya Bukoba, mkoani Kagera, Wasira amesema kuwa katika kipindi cha siku 31 za mchakato wa uteuzi ndani ya CHADEMA, wanachama wa chama hicho walikuwa wakitukanana, hali iliyomfanya Mbowe kutoweka.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Wakati sisi tunachagua wagombea, wao walikuwa Dar es Salaam wakitukanana kwa siku 31. Wanachama wao wana nguvu ya matusi. Wamemtukana Mbowe hadi amekimbia," alisema Wasira.

Ameongeza kuwa Mbowe hajaaga dunia bali "yupo anauguza vidonda vilivyotokana na matusi."

Mzee taahira huyu. Wakati wote, yeye ni kuongea ujinga ujinga tu!!
 
Ama kwa hakika,
Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa haiwezekani kwa kupasua mbarika kwenye medani za siasa za Tanzania🐒
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amepotea kutokana na matusi ya wanachama wa chama chake.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara Kata ya Kemondo, Wilaya ya Bukoba, mkoani Kagera, Wasira amesema kuwa katika kipindi cha siku 31 za mchakato wa uteuzi ndani ya CHADEMA, wanachama wa chama hicho walikuwa wakitukanana, hali iliyomfanya Mbowe kutoweka.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Wakati sisi tunachagua wagombea, wao walikuwa Dar es Salaam wakitukanana kwa siku 31. Wanachama wao wana nguvu ya matusi. Wamemtukana Mbowe hadi amekimbia," alisema Wasira.

Ameongeza kuwa Mbowe hajaaga dunia bali "yupo anauguza vidonda vilivyotokana na matusi."

Huyu mzee shida katika taifa hili, yeye aliposhindwa ubunge na binti Mdogo jimboni kwake ,si alipeka maumivu yake mahakamani ? Leo wapi amemsikia Mbowe kapeleka mahumivu yake mahakamani kama kweli Mbowe yupo na mahumivu , uchawa kwa wazee ni janga jipya
 
Hii ni aibu kubwa kwa chama cha mapinduzi hivi huyu mzee anaongea upumbavu gani??
Nashangaa ,hata mie ,uyu alichakazwa na binti mdogo kwenye jimbo lake ,akakimbilia mahakamani , nako akalamba za moyo.

Leo ndo anajiona Gwiji wa siasa nchi hii na ati ccm ndo wakamuona anafaa .

Ikumbukwe ni huyu mzee Wasira alikua pia anadaiwa deni la mkopo wa Tib (Tanzania investment bank) na mpaka sasa hatujui alirejesha au la pamoja na kipindi kile kujitetea kwamba alisha lipa.

Kama alikua amelipa inakuakaje TIB Mweka kwenye orodha ya wadaiwa , hii clip uyu mzee akijibu you tube ipo labda ifutwe kwa kua ni M/ mwenyekiti ccm kwa sasa na ambae ni mzee kupindukia kupata nafasi hii pitia ccm.

Ccm wamewajaribu sana watz it's time for no reform no Election
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amepotea kutokana na matusi ya wanachama wa chama chake.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara Kata ya Kemondo, Wilaya ya Bukoba, mkoani Kagera, Wasira amesema kuwa katika kipindi cha siku 31 za mchakato wa uteuzi ndani ya CHADEMA, wanachama wa chama hicho walikuwa wakitukanana, hali iliyomfanya Mbowe kutoweka.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Wakati sisi tunachagua wagombea, wao walikuwa Dar es Salaam wakitukanana kwa siku 31. Wanachama wao wana nguvu ya matusi. Wamemtukana Mbowe hadi amekimbia," alisema Wasira.

Ameongeza kuwa Mbowe hajaaga dunia bali "yupo anauguza vidonda vilivyotokana na matusi."

Kazi kuifuatilia chadema tu akina ACT hawana meno eeh au ni fisiemu B?
 
Back
Top Bottom