Wasira, Nape waongoza kongamano la vijana kujadili Rasimu ya Katiba Mwanza

Wasira, Nape waongoza kongamano la vijana kujadili Rasimu ya Katiba Mwanza

Mwanza MJI wa PILI kwa UKUBWA TZ; CCM inaogopa kufanya MKUTANO wa HADHARA???
 
Kongamano la vijana la majadiliano kuongozwa na watu wazima ambao wana nyadhifa ndani ya chama hii imekaaje??!!

Imezingatia power relation and its influence in accordance to freedom of speech?????

Au mi ndio na complicate mambo!!!!????
 
Tokea nifahamu elimu ya Nape Moses Mnauye sikutaka tena kufatilia hotuba yake yoyote ile kwani kabla sikufahamu kwanini speach zake ni nyeupe.
 
Mwanza MJI wa PILI kwa UKUBWA TZ; CCM inaogopa kufanya MKUTANO wa HADHARA???

Na wewe nawe, toka lini majadiliano yakafanywa kwenye hadhara? Unanshangaza!

Hivi Mwanza bado ni mji na sio Jiji?
 
Watu wazima dawa.
 
Tokea nifahamu elimu ya Nape Moses Mnauye sikutaka tena kufatilia hotuba yake yoyote ile kwani kabla sikufahamu kwanini speach zake ni nyeupe.

Hivi elimu ya Mbowe ni ipi vile?
 
Kongamano la vijana la
majadiliano kuongozwa na watu wazima ambao wana nyadhifa ndani ya chama
hii imekaaje??!!

Imezingatia power relation and its influence in accordance to freedom of
speech?????

Au mi ndio na complicate mambo!!!!????

Isitoshe kwanini viongozi wote mavitambi hivi niviongozi au majizi tu hayo?
 
Hivi elimu ya Mbowe ni ipi vile?

Hata kama ila. Jamaa anaongea pointi kwenye speach zake tuache ushabiki kana kwamba unaweza kuifuatilia elimu yake ila sio kwa uwarakini. umenisoma au na we wale wale.
 
Watu wazima dawa.

Is this how youths should be nartured,empowered,encapacitated and oriented to multi party democracy???!!!!

Kuna mambo ya kuelekezwa na sio kusimamiwa halafu waendelee kwa uhuru bila kuvunja sheria wala katiba. Kama ni tanuri la viongozi hapo unaweza oka watu waoga na wasio jiamini kwa sababu hawajazoea kuwa wenyewe,wazo tu!!!!!
 
Na wewe nawe, toka lini majadiliano yakafanywa kwenye hadhara? Unanshangaza!

Hivi Mwanza bado ni mji na sio Jiji?

Kwani unadhani MKUTANO MKUBWA wa KUTIKISA ULIMWENGU uliofanyika huko MBEYA; Ulikuwa ni wa UCHAGUZI? au ni wa KONGAMANO LA KUJADILI RASIMU YA KATIBA kwa KUWATUMIA WAJUMBE wa UMOJA WA WAZAZI

Hata siku Moja JUMUIA ya UMOJA wa WAZAZI haita kwenda MIKOANI KUFANYA MIKUTANO ya WANACHAMA wewe angalia PICHA wanagoma kutoa na wana Camera 6; Wanapiga tu MEZA KUU... Siasa sio Upadagonist...

Kama wewe kweli unajua kusoma picha angalia iliyokaa...: WATOTO na Mpiga picha yuko nyuma yao kaweka CAMERA CHINI ILI KUFICHA UKWELI...

Mwanza ni kwetu ni MJI wanaita JIJI kiunafiki bado usingeQualify kuwa JIJI na Unajua hivyo...

1097937_411540965629021_783251851_n.jpg
 
Hata kama ila. Jamaa anaongea pointi kwenye speach zake tuache ushabiki kana kwamba unaweza kuifuatilia elimu yake ila sio kwa uwarakini. umenisoma au na we wale wale.

Ndio mdudu gani huyo?
 
Hujuwi? Ngoja nikusaidie, ana shahada ya u DJ aliyotunukiwa na DJ Seydou.

Nape Nnauye -- alipata Div 0 - Form IV(FOUR) (alirudia mara 2 na bado hakuweza kupata hata C moja)

Pamoja na kufeli kwake CCM ikampeleka CHUO cha SIASA KIVUKONI -- akadisco
Pamoja na hivyo wakampeleka VYUO VYA ELIMU YA BURE INDIA

Mbowe --- alipata Div 0 Form VI(SIX) (Sio kwa Ujinga sababu ya lifestyle partying)
Ana Investment; Well established... hakuchota pesa serikalini kujifaidisha kama watoto wa wakubwa ndani ya NCHI HII...

c.cally linje
Gwalihenzi
 
Nape Nnauye -- alipata Div 0 - Form IV(FOUR) (alirudia mara 2 na bado hakuweza kupata hata C moja)

Pamoja na kufeli kwake CCM ikampeleka CHUO cha SIASA KIVUKONI -- akadisco
Pamoja na hivyo wakampeleka VYUO VYA ELIMU YA BURE INDIA

Mbowe --- alipata Div 0 Form VI(SIX)
(Sio kwa Ujinga sababu ya lifestyle partying)
Ana Investment; Well established... hakuchota pesa serikalini kujifaidisha kama watoto wa wakubwa ndani ya NCHI HII...

c.cally linje
Gwalihenzi

Duh! hapo umeshinda!
 
Mwanza MJI wa PILI kwa UKUBWA TZ; CCM inaogopa kufanya MKUTANO wa HADHARA???
Majadiliano na mikutano ya hadhara ni vitu tofauti.

Kujadili rasimu ya katiba ni tofauti na kufanya mikutano ya hadhara.

CCM hatujadili rasimu ya katiba kama mikutano ya hadhara. This is two way communication.

Huu ndiyo utaratibu tuliojiwekea na ni utaratibu unakubalika katika majadiliano yoyote.
 
Hapana Wanafanya Mikutano hiyo NJE PIA; Especially wajumbe wa MIKUTANO YA WAZAZI angalia picha na wanafurahi haswa...

- Mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa Wazazi/CCM Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mheshimiwa Bulembo leo umevunja record zote
 
Back
Top Bottom