MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,266
Kwa hiyo Div 0 ya mbowe ni afadhari ya Div 0 za wale wanaopata siyo kwa sababu ya lifestyle partying.Nape Nnauye -- alipata Div 0 - Form IV(FOUR) (alirudia mara 2 na bado hakuweza kupata hata C moja)
Pamoja na kufeli kwake CCM ikampeleka CHUO cha SIASA KIVUKONI -- akadisco
Pamoja na hivyo wakampeleka VYUO VYA ELIMU YA BURE INDIA
Mbowe --- alipata Div 0 Form VI(SIX) (Sio kwa Ujinga sababu ya lifestyle partying)
Ana Investment; Well established... hakuchota pesa serikalini kujifaidisha kama watoto wa wakubwa ndani ya NCHI HII...
c.cally linje
Gwalihenzi
Hii LIFESTYLE PARTYING ndiyo nini mpaka ina uafadhari na Div 0 zingine.
Kweli ukipenda unaona kengeza mpaka unakuwa radhi kudharirika kwa ajiri ya kukopa fikra na mawazo ya mtu mwenye Div 0 ya lifestyle partying.
