Mwanza MJI wa PILI kwa UKUBWA TZ; CCM inaogopa kufanya MKUTANO wa HADHARA???
Kongamano la vijana la majadiliano kuongozwa na watu wazima ambao wana nyadhifa ndani ya chama hii imekaaje??!!
Imezingatia power relation and its influence in accordance to freedom of speech?????
Au mi ndio na complicate mambo!!!!????
Tokea nifahamu elimu ya Nape Moses Mnauye sikutaka tena kufatilia hotuba yake yoyote ile kwani kabla sikufahamu kwanini speach zake ni nyeupe.
Kongamano la vijana la
majadiliano kuongozwa na watu wazima ambao wana nyadhifa ndani ya chama
hii imekaaje??!!
Imezingatia power relation and its influence in accordance to freedom of
speech?????
Au mi ndio na complicate mambo!!!!????
Hivi elimu ya Mbowe ni ipi vile?
Watu wazima dawa.
Muulize mzee Mohamed Saidi au Ponda!Hivi elimu ya Mbowe ni ipi vile?
Na wewe nawe, toka lini majadiliano yakafanywa kwenye hadhara? Unanshangaza!
Hivi Mwanza bado ni mji na sio Jiji?
Muulize mzee Mohamed Saidi au Ponda!
Hata kama ila. Jamaa anaongea pointi kwenye speach zake tuache ushabiki kana kwamba unaweza kuifuatilia elimu yake ila sio kwa uwarakini. umenisoma au na we wale wale.
Hujuwi? Ngoja nikusaidie, ana shahada ya u DJ aliyotunukiwa na DJ Seydou.
Nape Nnauye -- alipata Div 0 - Form IV(FOUR) (alirudia mara 2 na bado hakuweza kupata hata C moja)
Pamoja na kufeli kwake CCM ikampeleka CHUO cha SIASA KIVUKONI -- akadisco
Pamoja na hivyo wakampeleka VYUO VYA ELIMU YA BURE INDIA
Mbowe --- alipata Div 0 Form VI(SIX) (Sio kwa Ujinga sababu ya lifestyle partying)
Ana Investment; Well established... hakuchota pesa serikalini kujifaidisha kama watoto wa wakubwa ndani ya NCHI HII...
c.cally linje
Gwalihenzi
Majadiliano na mikutano ya hadhara ni vitu tofauti.
Mwanza MJI wa PILI kwa UKUBWA TZ; CCM inaogopa kufanya MKUTANO wa HADHARA???
Majadiliano na mikutano ya hadhara ni vitu tofauti.
Kujadili rasimu ya katiba ni tofauti na kufanya mikutano ya hadhara.
CCM hatujadili rasimu ya katiba kama mikutano ya hadhara. This is two way communication.
Huu ndiyo utaratibu tuliojiwekea na ni utaratibu unakubalika katika majadiliano yoyote.