Wasira, Nape waongoza kongamano la vijana kujadili Rasimu ya Katiba Mwanza

Kwa hiyo Div 0 ya mbowe ni afadhari ya Div 0 za wale wanaopata siyo kwa sababu ya lifestyle partying.

Hii LIFESTYLE PARTYING ndiyo nini mpaka ina uafadhari na Div 0 zingine.

Kweli ukipenda unaona kengeza mpaka unakuwa radhi kudharirika kwa ajiri ya kukopa fikra na mawazo ya mtu mwenye Div 0 ya lifestyle partying.
 
Wewe naona unatumia akili za Div 0 ya lifestyle partying!

Toka lini kongamano likawa ni mkutano wa hadhara?.

Kwa fikra na mawazo haya, Bora hata hiyo Div 0 ambayo siyo ya lifestyle partying.
 
Ya Nape ni ya Form Four; Ya MBOWE ni ya Form Six... Na Unajua enzi za MBOWE --- Form Six una D moja...unapata kazi NZURI safi serikalini na unapata CHUO

Angalia ni tofauti hizo DIV O form four and form six; measure ipi ni nzito? na nani kabebwa ingekuwa mtoto wa mwingine hapo la ndio hao waliochukuliwa majina na kina MWINGULU na KIGANGWALLA
 
Wewe naona unatumia akili za Div 0 ya lifestyle partying!

Toka lini kongamano likawa ni mkutano wa hadhara?.

Kwa fikra na mawazo haya, Bora hata hiyo Div 0 ambayo siyo ya lifestyle partying.

Hapo sasa ni kumuuliza Mh. William Malecela... Ameshatembelea Mikoa 18 wilaya 88 as a 1st class delegate wakati wafanyakazi serikalini hawana mishahara...
 
semina ya kulishwa maneno.

'Tutaangalia uzito wa hoja na sio wingi wa watoa hoja' by By Jaji Warioba.
 
...mbona hamueleweki!?,si majuzi mmesema tusiwasilize hao watu wazima wamekaribia kufa?...

Nna uhakika hilo hatujawahi kusema. Kwanza hata neno lenyewe hilo hatulijuwi maana yake.
 
Hivi elimu ya Mbowe ni ipi vile?

speech za mbowe ni nzuri sana mara x 1000 ukilinganisha na za dt dr dr dr dr dr dt dt dt dr dr dr kikwete kama utaweka pembeni mahaba ya uchama..
 
Nna uhakika hilo hatujawahi kusema. Kwanza hata neno lenyewe hilo hatulijuwi maana yake.

unajitoa fahamu nape alisema mawazo ya serikali tatu ni ya wazee wanao subiri kufa, je sokwe huwa anakufa akiwa na miaka mingapi?..
 
Napita tu sina la kuchangia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu, unawadhifa gani ndani ya CCM?
 
unajitoa fahamu nape alisema mawazo ya serikali tatu ni ya wazee wanao subiri kufa, je sokwe huwa anakufa akiwa na miaka mingapi?..

Kwani wewe husubiri kufa? hivi unasubiri nini hapa duniani? Unanshangaza!
 
speech za mbowe ni nzuri sana mara x 1000 ukilinganisha na za dt dr dr dr dr dr dt dt dt dr dr dr kikwete kama utaweka pembeni mahaba ya uchama..

Nzuri sana tena sana ndio maana alipogombea dhidi ya Kikwete 2005 watu wakamkubali sana kwa hotuba zake na wakamchaguwa Kikwete kwa kishindo. Si ndio?

Sasa rudi kwenye swali, hivi Mbowe elimu yake ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…