GE2025 Wasira: Ni utamaduni wa CCM kumwongezea muda Rais anayefanya vizuri

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Stephen Wasira amesema, vyama vingi vya siasa ulimwenguni vina utamaduni wa kuwaongezea muda viongozi ambao wanafanya vizuri kwenye uongozi wao kwa maana ya kutowapinga ndani ya chama wanapogombea kipindi kingine cha uongozi.

Amesema ni katika muktadha huo, CCM imempa tena nafasi Rais Samia Suluhu Hassan ambaye amefanya mambo makubwa kwa Taifa kupitia miradi mbalimbali.

Akizungumza katika kipindi cha Mizani kinachorushwa na Shirika la Utangazaji Tanzania kupitia chaneli ya TBC1 na kuongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt. Ayub Rioba Chacha, Mzee wa Wasira amefafanua kwa awamu inamhusu mtu na si miaka na kwamba hii ni Awamu ya Sita ambayo mpaka sasa imeongozwa kwa miaka takribani minne na Rais Samia na kwamba Awamu ya Tano ilimalizika kufuatia kifo cha Rais John Magufuli.

Kuhusu kazi nzuri aliyoifanya Rais Samia, Mzee Wasira ametaja baadhi ya kazi hizo kuwa ni miradi mkubwa iliyotekelezwa katika kipindi cha uongozi wake kama ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere, ujenzi wa madarasa, upelekaji maji kwa wananchi na miradi mingine lukuki yenye faida kwa jamii.
 
zee umri miaka zaidi ya 80 lakini bado chawa, si bora mwashambwa awe chawa yeye bado umri unadai.
 
Atuoneshe basi hata picha ya bibi chaudere akiwa anachukua fomu ya kugombea
 
Wasirra kazeeka kabisa yaani!
Kwanini hafi?

Hasara kubwa sana kwa taifa na ukoo wake kuwa na sampuli hii ya wazee wajinga wajinga,hii yote ni kwa sababu kapewa pakujishikiza na mwanae soon anaingia kwa uhakika kwenye kundi la watakaokaa meza kuu.
 
Kafanya vizuri kukuponya njaa yako, kama si hivyo ungeanza kuminyana na watoto wako na kuanza kulalamika umeibiwa kura majimbo yameongezwa😀
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Stephen Wasira amesema, vyama vingi vya siasa ulimwenguni vina utamaduni wa kuwaongezea muda viongozi ambao wanafanya vizuri kwenye uongozi wao kwa maana ya kutowapinga ndani ya chama wanapogombea kipindi kingine cha uongozi.

Amesema ni katika muktadha huo, CCM imempa tena nafasi Rais Samia Suluhu Hassan ambaye amefanya mambo makubwa kwa Taifa kupitia miradi mbalimbali.

Akizungumza katika kipindi cha Mizani kinachorushwa na Shirika la Utangazaji Tanzania kupitia chaneli ya TBC1 na kuongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt. Ayub Rioba Chacha, Mzee wa Wasira amefafanua kwa awamu inamhusu mtu na si miaka na kwamba hii ni Awamu ya Sita ambayo mpaka sasa imeongozwa kwa miaka takribani minne na Rais Samia na kwamba Awamu ya Tano ilimalizika kufuatia kifo cha Rais John Magufuli.

Kuhusu kazi nzuri aliyoifanya Rais Samia, Mzee Wasira ametaja baadhi ya kazi hizo kuwa ni miradi mkubwa iliyotekelezwa katika kipindi cha uongozi wake kama ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere, ujenzi wa madarasa, upelekaji maji kwa wananchi na miradi mingine lukuki yenye faida kwa jamii.
(1) Hakuna Rais mwingine aliyewahi kuongezewa muda bila kufuata candidate nomination procedures. Wote waliotangulia walijaza form ya kuomba na wote walitafuta wadhamini kutoka mikoa kumi ya Tanzania Bara na miwili ya Tanzania Visiwani. Hakuna uhuni uliofanyika!

(2) Sio sahihi kuilinganisha candidacy ya Samia The Killer na 2nd-term candidacies za AHM, BWM, JMK na JPM. Samia The Killer sio Rais wa kuchaguliwa. Aliupata Urais by default, sio kwa sababu alionekana kufaa kuliko wengine. Any other person serving as VP at the time would have been sworn in as president (i.e., kilaza yeyote mwingine angeapishwa kushika kiti cha Rais provided alikuwa VP wakati kiti cha Rais kilipokuwa wazi). Hivyo, katika context hii, njia sahihi ilikuwa CCM kufuata procedures zote zinazotumika kwa 1st-term candidates (open field)!
 
Wasirra kazeeka kabisa yaani!
Aheri angezeeka mwili pekee, lakini huyu kazeeka zaidi akili, na kuishiwa kabisa busara na hekima. Kama umri mpaka huo alio nao ameamua kuwa chawa, basi huyu amepotea moja kwa moja.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Stephen Wasira amesema, vyama vingi vya siasa ulimwenguni vina utamaduni wa kuwaongezea muda viongozi ambao wanafanya vizuri kwenye uongozi wao kwa maana ya kutowapinga ndani ya chama wanapogombea kipindi kingine cha uongozi.

Amesema ni katika muktadha huo, CCM imempa tena nafasi Rais Samia Suluhu Hassan ambaye amefanya mambo makubwa kwa Taifa kupitia miradi mbalimbali.

Akizungumza katika kipindi cha Mizani kinachorushwa na Shirika la Utangazaji Tanzania kupitia chaneli ya TBC1 na kuongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt. Ayub Rioba Chacha, Mzee wa Wasira amefafanua kwa awamu inamhusu mtu na si miaka na kwamba hii ni Awamu ya Sita ambayo mpaka sasa imeongozwa kwa miaka takribani minne na Rais Samia na kwamba Awamu ya Tano ilimalizika kufuatia kifo cha Rais John Magufuli.

Kuhusu kazi nzuri aliyoifanya Rais Samia, Mzee Wasira ametaja baadhi ya kazi hizo kuwa ni miradi mkubwa iliyotekelezwa katika kipindi cha uongozi wake kama ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere, ujenzi wa madarasa, upelekaji maji kwa wananchi na miradi mingine lukuki yenye faida kwa jamii.
Mzee mjinga sana huyu, anapalilia ulaji wa Kijana wake .
 
Back
Top Bottom