The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Hii nyara irudishwe haraka kule Gombe.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kauli ya “No Reforms No Election” inayopigiwa chapuo na baadhi ya vyama vya upinzani si hoja ya kisiasa, bali ni wito wa makusudi wa kuvuruga amani na kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akizungumza katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika wilayani Sengerema Juni 24, 2025, Wasira alisema wito huo unawachochea wananchi hususan vijana, wazee na wanawake kuacha shughuli zao halali na kushiriki katika vitendo vya fujo kwa lengo la kuzuia uchaguzi, jambo ambalo ni kinyume cha sheria na taratibu za nchi.
View attachment 3382311
Mzee Wasira kawapita kina Heche kwa hojaMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kauli ya “No Reforms No Election” inayopigiwa chapuo na baadhi ya vyama vya upinzani si hoja ya kisiasa, bali ni wito wa makusudi wa kuvuruga amani na kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akizungumza katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika wilayani Sengerema Juni 24, 2025, Wasira alisema wito huo unawachochea wananchi hususan vijana, wazee na wanawake kuacha shughuli zao halali na kushiriki katika vitendo vya fujo kwa lengo la kuzuia uchaguzi, jambo ambalo ni kinyume cha sheria na taratibu za nchi.
View attachment 3382311
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kauli ya “No Reforms No Election” inayopigiwa chapuo na baadhi ya vyama vya upinzani si hoja ya kisiasa, bali ni wito wa makusudi wa kuvuruga amani na kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akizungumza katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika wilayani Sengerema Juni 24, 2025, Wasira alisema wito huo unawachochea wananchi hususan vijana, wazee na wanawake kuacha shughuli zao halali na kushiriki katika vitendo vya fujo kwa lengo la kuzuia uchaguzi, jambo ambalo ni kinyume cha sheria na taratibu za nchi.
View attachment 3382311
Wasira kawapiga CHADEMA kwenye mshonoMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kauli ya “No Reforms No Election” inayopigiwa chapuo na baadhi ya vyama vya upinzani si hoja ya kisiasa, bali ni wito wa makusudi wa kuvuruga amani na kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akizungumza katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika wilayani Sengerema Juni 24, 2025, Wasira alisema wito huo unawachochea wananchi hususan vijana, wazee na wanawake kuacha shughuli zao halali na kushiriki katika vitendo vya fujo kwa lengo la kuzuia uchaguzi, jambo ambalo ni kinyume cha sheria na taratibu za nchi.
View attachment 3382311
Acheni ujinga wenu hapaLucas Mwashambwa kuna li-mzigo lako hapa
Ni kweli, maana hoja zake ni za propaganda za kizee.Mzee Wasira kawapita kina Heche kwa hoja
Mnajipiga vidole wenyewe na kunusa.Wasira kawapiga CHADEMA kwenye mshono
Ili neno linakela kila siku lizungumzwe neno lenyewe limekaa kibabe sanaHuyu mwanachama sugu wa NCCR-Mageuzi haishiwi vibweka.No reforms, No election inamfanya asitafune ugali wake wa udaga kwa kujidai.