PreGE2025 Wasira: Sisi ni CCM hatuwezi kuwa Chama cha Polisi

PreGE2025 Wasira: Sisi ni CCM hatuwezi kuwa Chama cha Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM bara Steven Wasira amesema CCM sio chama cha Polisi bali wao ni cha CCM.

“Tunataka watu wengi wapige kura kwa kuwasikiliza wananchi wanasema nini,sio umepewa hela ngapi na hela mnayopewa mkikakata mtakuwa msema uongo,siwazuii kutumia hela hiyo”

“Tunataka cha chetu kiwe chama cha watu, wanatutukana hawa sisi wanasema hiki chama hakishindi bila poilisi sisi hatutaki chama cha polisi sisi ni chama cha mapinduzi , sisi ni chama kilileta uhuru wa Tanganyika sisi ni chama kilitokana na AFRO iliyoleta mapinduzi ya Zanzibar ni vyama vya watu masikini’​

Chanzo: HabariMpya
​
 
Huyu mzee huwa ajikojolei au kuwaachia mishuzi mkiwapo naye kwenye ziara zenu na mikutano yenu.
IMG_1784.jpeg
 
Mkatae mkubali ni policcm. Kuna fisiem kibao wametoa kauli za kutishia usalama. Kuwa watauwa, watateka, watashughulikia wapinzani wao. Walishafanya hivyo kwenye chaguzi zilizopita.

Wanasema hadharani, je ni polisi gani alienda kuwakamata na kuwafungulia mashtaka. Aongee hayo mpinzani hata kabla hajamaliza katekwa, kauwawa.
 
Chama dola haooo

Policcm

Ova
 
Back
Top Bottom