Babu wampumzisheWassira Wadanganye wajinga
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.
Anavaa pampas.Huyu mzee huwa ajikojolei au kuwaachia mishuzi mkiwapo naye kwenye ziara zenu na mikutano yenu.
View attachment 3376827
Huyu tumwambue wao ni matekaji wauaji kabisa
Anaongea kinyume chakeWassira Wadanganye wajinga
Chama dola haoooMkatae mkubali ni policcm. Kuna fisiem kibao wametoa kauli za kutishia usalama. Kuwa watauwa, watateka, watashughulikia wapinzani wao. Walishafanya hivyo kwenye chaguzi zilizopita.
Wanasema hadharani, je ni polisi gani alienda kuwakamata na kuwafungulia mashtaka. Aongee hayo mpinzani hata kabla hajamaliza katekwa, kauwawa.