The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuna watu nje ya Tanzania wenye vibaraka ndani ya Tanzania ambao wamekuwa wakieleza kuwa CCM imekaa sana madarakani, ambapo amedai kuwa kauli zao hizo ni propaganda huku akisisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza dola.
Wasira ameyasema hayo Jumanne Februari 4, 2025 jijini Dodoma Wakati wa Kongamano la Wanawake kuelekea maadhimisho ya miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi.
Wasira ameyasema hayo Jumanne Februari 4, 2025 jijini Dodoma Wakati wa Kongamano la Wanawake kuelekea maadhimisho ya miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi.