mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
Tunaomba ithibati za kitabibu ili tuweze kujua ukweli wake katika hili
Jina halisi la marehemu na address yake kamili
Hospital aliyotibiwa mpaka mauti kumfika I mean baada ya kunywa hiyo dawa na hayo soda
Ripoti kamili ya daktari postmortem
Uthibitisho wa kaburi lake nk nk
Huyo kasikia!! Hawezi kuleta vihelelezo.
Huu ni uzushi tu..... hamna kitu kama hicho!
Kuna tafiti zingine prove yake haihitaji bajeti kubwa kukamilika,kama humuamini mtoa mada chukua mia yako kanunue panadol kisha chukua mia sita yako kanunue hiyo soda unywe ithibati itapatikana kwa wepesi zaidi.

Mleta uzi mende 2014 umeulizwa swali na mshana jr Mjibu! Au ulikua unaota?!