WASIWASI: Dawa aina ya PANADOL inaua?

Ngoja nitafanya hivyo lakini nikiwa karibu kabisa na mlango wa i.c.u.
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli kabisa kaka hapa jamvini nilishaleta uzi huo lakini kuna watu wakapinga mno bado wana hiyo imani
 
Mbona hata mimi nilishapiga dose kwa sprite Mkuu? Hizi zitakuwa kamba! Hivi humu hatuna wakemia wakuu wakatusaidia jinsi hii reaction inavyotokea?'Au wameingia mitini kwa vile elimu ya Mulugo ni ya kukariri vitini kwa kwenda mbele!
 
Last edited by a moderator:
Mbona hata mimi nilishapiga dose kwa sprite Mkuu? Hizi zitakuwa kamba! Hivi humu hatuna wakemia wakuu wakatusaidia jinsi hii reaction inavyotokea?'Au wameingia mitini kwa vile elimu ya Mulugo ni ya kukariri vitini kwa kwenda mbele!

Manjagata, nakuomba ujaribu 7up kwa panadol upate uhakika kamili badala ya kuandikia mate wakati wino upo.
 
Last edited by a moderator:

Mh. mende 2014 hasante sana kwa taarifa hii japo kuna baadhi wanaoponda kwa kumaanisha sio kweli. Mimi naona wanaobisha wafanje jaribio ili wapate majibu kamili.
 
Last edited by a moderator:

Wakati unasubiri kupata vithibitisho jaribu kunywa panadol na coca ----- wee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…