WASIWASI: Dawa aina ya PANADOL inaua?

WASIWASI: Dawa aina ya PANADOL inaua?

Kwa yeyote ambaye haamini kuwa ni kweli nina mshauri msemo wa Ndoa ya Mkeka kwamba nunua panadol na 7up halafu upate jibu lake then uwape wengine jibu lakini ikitokea umedead usilaumu ama tusilaumiane maana mdharau mwiba humchoma. Uthibitisho kamili ndo huo.

Ngoja nitafanya hivyo lakini nikiwa karibu kabisa na mlango wa i.c.u.
 
Last edited by a moderator:
Tunaomba ithibati za kitabibu ili tuweze kujua ukweli wake katika hili
Jina halisi la marehemu na address yake kamili
Hospital aliyotibiwa mpaka mauti kumfika I mean baada ya kunywa hiyo dawa na hayo soda
Ripoti kamili ya daktari postmortem
Uthibitisho wa kaburi lake nk nk

Ni kweli kabisa kaka hapa jamvini nilishaleta uzi huo lakini kuna watu wakapinga mno bado wana hiyo imani
 
Kwa yeyote ambaye haamini kuwa ni kweli nina mshauri msemo wa Ndoa ya Mkeka kwamba nunua panadol na 7up halafu upate jibu lake then uwape wengine jibu lakini ikitokea umedead usilaumu ama tusilaumiane maana mdharau mwiba humchoma. Uthibitisho kamili ndo huo.

Mbona hata mimi nilishapiga dose kwa sprite Mkuu? Hizi zitakuwa kamba! Hivi humu hatuna wakemia wakuu wakatusaidia jinsi hii reaction inavyotokea?'Au wameingia mitini kwa vile elimu ya Mulugo ni ya kukariri vitini kwa kwenda mbele!
 
Last edited by a moderator:
Mbona hata mimi nilishapiga dose kwa sprite Mkuu? Hizi zitakuwa kamba! Hivi humu hatuna wakemia wakuu wakatusaidia jinsi hii reaction inavyotokea?'Au wameingia mitini kwa vile elimu ya Mulugo ni ya kukariri vitini kwa kwenda mbele!

Manjagata, nakuomba ujaribu 7up kwa panadol upate uhakika kamili badala ya kuandikia mate wakati wino upo.
 
Last edited by a moderator:
Hao ni wadogo zangu huwa kumbuki mlichezanao tiyari bado, kumbe ulishapoteza kumbukumbu?

ImageUploadedByJamiiForums1408009277.465781.jpg
Cheki hayo mawingu
 
Kijana mmoja amefariki kwa sababu ya kumeza dawa aina ya panadol. Baada ya kumeza dawa hiyo ya panadol tu alikunywa soda aina ya 7up, na akafa hapohapo.

Baada ya kuchunguzwa na wataam kifo chake, ikagunduliwa kuwaKidonge/dawa aina ya panadol ikifuatiwa kuchanganyishwa katika muda wa karibu na kinywaji cha gesi, dawa hiyo hugeuka na kuwa sumu.

Tafadhali wajulishe watu ujumbe huu ili wachukue tahadhari.

Mh. mende 2014 hasante sana kwa taarifa hii japo kuna baadhi wanaoponda kwa kumaanisha sio kweli. Mimi naona wanaobisha wafanje jaribio ili wapate majibu kamili.
 
Last edited by a moderator:
Tunaomba ithibati za kitabibu ili tuweze kujua ukweli wake katika hili
Jina halisi la marehemu na address yake kamili
Hospital aliyotibiwa mpaka mauti kumfika I mean baada ya kunywa hiyo dawa na hayo soda
Ripoti kamili ya daktari postmortem
Uthibitisho wa kaburi lake nk nk

Wakati unasubiri kupata vithibitisho jaribu kunywa panadol na coca ----- wee
 
Back
Top Bottom